Duuh, nimepatikana...Nampenda huyu mtoto kuliko maelezo

Duuh, nimepatikana...Nampenda huyu mtoto kuliko maelezo

Achana nae mkuuu,usikose Aman ya moyo kisa mwanamkee good enough umeshaoa temana nae mzeeee Mimi kwakweli huwa sipend mwanamme anaeoneshaa udhaifu Kwa mwanamke watu wwnyewe wako Weng why should you bother with that broh
mkuu kuachana nae nayo ni ishu, ninampenda kiukweli ninatamani angekuwa mke wangu ila kwa mimi mkristo ndio imeshatoka, mke wangubanajua now na anajua ndio sehemu ninapata huduma yangu, maana kwa yeye haiwezekani tena na anataka mtoto wetu awe na ndugu ananilazimishe nimpe mimba au nitafute pengine mtoto asiwe mwenyewe
 
ndio. mpenzi wangu, siyo siku ya mahari siku ya kufunga ndoa
Ndiyo ulilala naye, sasa na huyo uliekuwa unaenda kumuoa ulikuwa na shauku naye kweli, nijuavyo ile siku unakuwa nakimuhemuhe cha kumuona biharusi na mtakavyokuwa siku hiyo, wewe ukawa na kidosho mwingine duu kuna watu duniani na ....tu duniani
 
siyo kwamba hanipendi mkuu, ananipenda sanaa and alikuwa hapo siku zote na maumivu yote ya ndoa yangu kayapitia sasa ndio kaamua imetosha, nimekirj nimemkosea na ninapojaribu kum cut off, anarudi ila hataki mahusiano ya mapenzi tena, just salamubajue ninaendeleaje ivyo na anajua akifanya hivyo ananitesa
Kama ulikuwa unampenda kwaninj usingemuoa tu huyo? Usipo angalia ndoa itakushinda bwana wewe!
 
Ndiyo ulilala naye, sasa na huyo uliekuwa unaenda kumuoa ulikuwa na shauku naye kweli, nijuavyo ile siku unakuwa nakimuhemuhe cha kumuona biharusi na mtakavyokuwa siku hiyo, wewe ukawa na kidosho mwingine duu kuna watu duniani na ....tu duniani
kimuhe muhe kipi, sikuwahi kukiona mkuu
 
Ninachojua mimi msingi wa ndoa ni upendo....hizo factor nyingine ni kujitesa na kujisababishia matatizo yasiyo na sababu au dhambi zisizo lazima.

Mimi siwezi olewa na mtu kwa kigezo cha mtoto....naona ni bora niwe single mother milele kuliko kulialia na kukosa amani kila siku
 
Wakati unaoa mwanao alikuwa na umri gani? Haikuwezekana kumchukua mtoto na kukaa nae? Ni kama nakuelewa hivi ila kukusaidia nashindwa. Pole
 
siyo kwamba hanipendi mkuu, ananipenda sanaa and alikuwa hapo siku zote na maumivu yote ya ndoa yangu kayapitia sasa ndio kaamua imetosha, nimekirj nimemkosea na ninapojaribu kum cut off, anarudi ila hataki mahusiano ya mapenzi tena, just salamubajue ninaendeleaje ivyo na anajua akifanya hivyo ananitesa
Moyo wamtu kichaka,ukiwa msemaji wa moyo wa mtu unabugi
 
Ninachojua mimi msingi wa ndoa ni upendo....hizo factor nyingine ni kujitesa na kujisababishia matatizo yasiyo na sababu au dhambi zisizo lazima.

Mimi siwezi olewa na mtu kwa kigezo cha mtoto....naona ni bora niwe single mother milele kuliko kulialia na kukosa amani kila siku
Asingemzalisha mdada wa watu ndio anadai mapenzi naye yameisha yameamia kwa mtoto nayo imenikera ,Hata huyo unaedhan ni mpenzi bora kwakuwa hajapata mtoto,subiri nae akupata mtoto ndio uone kama unampenda kweli,nimewaona wengi wake zao au wapenzi wakijifungua huwachukia sana wazazi wenzao na mtu asipokuwa mvumilivu anaweza akafanya maamuz ya ajabu kama yako
 
kimuhe muhe kipi, sikuwahi kukiona mkuu
Halafu mkristo gani kesho anafunga ndoa usiku anafanya uasherati na mwanamke mwingine?
Ikiwa tu kama unaishi naye bila ndoa siku mnabariki lazima mtengane kila mtu akalale sehemu nyingine mmmm
Ndoa za kizazi kipya
 
Nashindwa kuelewa hapa
N ushaur gan utakufaa
 
Halafu mkristo gani kesho anafunga ndoa usiku anafanya uasherati na mwanamke mwingine?
Ikiwa tu kama unaishi naye bila ndoa siku mnabariki lazima mtengane kila mtu akalale sehemu nyingine mmmm
Ndoa za kizazi kipya
Ndoa za skuhiz n Mungu
Tu aingilie kat
 
Back
Top Bottom