The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
- Thread starter
- #21
mkuu kuachana nae nayo ni ishu, ninampenda kiukweli ninatamani angekuwa mke wangu ila kwa mimi mkristo ndio imeshatoka, mke wangubanajua now na anajua ndio sehemu ninapata huduma yangu, maana kwa yeye haiwezekani tena na anataka mtoto wetu awe na ndugu ananilazimishe nimpe mimba au nitafute pengine mtoto asiwe mwenyeweAchana nae mkuuu,usikose Aman ya moyo kisa mwanamkee good enough umeshaoa temana nae mzeeee Mimi kwakweli huwa sipend mwanamme anaeoneshaa udhaifu Kwa mwanamke watu wwnyewe wako Weng why should you bother with that broh