Dvd/cd rom haisomi

Dvd/cd rom haisomi

mfereji maringo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
1,041
Reaction score
257
Wadau naomba mnisaidie nina tatizo, toshiba laptop yangu nimeiformat, nimeweka win xp pro. Sasa nina tatizo kuwa sauti haijarudi licha ya sound driver kuonyesha kuwepo yaani zinaonekana ktk device mngmnt. Pia cd rom haionekani unapoopen my computa, naomba ushauri
 
Wakati una isntall XP ulitumia USB au ulitumia CD?

Ukishindwa ushauri wa jamaa aliokupa hapo juu hakikisha OS iliweka driver sahihi kulingan na hardware type za CD/DVD drive.

-I mean ni aina gani ya DVD iko kwenye toshiba yako.
-Je unaweza kuweka na eject DVD bila shida . Neje a taaa ya kwenye DVD inawaka ukiweka DVD/CD? Na ukiweka DVD unaisikia ikizunguka.
 
Hakikisha Driver uloweka ni sahihi kwa laptop yako na window yake, Pia angalia kama driver za cd rom zipo ok?
Tembelea hapa and download the driver for ur lapotop Toshiba Support - Homepage
SELECT Product support>select the type of laptop na model yake then Chagua drive husika na upakue.
 
@redsilver inaonekana hii window niliyoweka ina tatizo maana hata nikifungua internet exp inafunguka baadae inagoma kwa enconter a problem, so sitaweza kupost devive maneger coz ndt inafunguka baadae inagoma iila dvd pale haisomi na mwanzo ilikuwepo.
 
@mtazamaji, mkuu nilitumia dvd rom na hata sasa ukiweka cd pale taa inawaka na inazunguka nadhani ni tatizo la os niliyoweka, naomba mawazo zaidi nataka kuformat upya ila kwanza nitatue tatizo la rom. Ahsante
 
@rancosys, nadhani kuna tatizo la os maana hata ni kifungua internet exp inafunguka na baadae inacounter a prob cos of windows. Naomba mawazo zaidi.
 
mwanzo mara baada ya kuformat ilikuwepo dvd drivers ktk device mnger. Kwa sasa haionekani kabisa hata kwa kuwa na kale kaalama ka rangi ya njano haipo kabisa.
 
wakuu nimeamua kuformat upya machine natumia dvd rom kuinstall, nahisi os ile magumashi, nimeshusha ile os, napandisha mzigo mwingine. Nitawajuza nikimaliza, nawashukuru kwa michango yenu.
 
Back
Top Bottom