mfereji maringo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 1,041
- 257
Wadau naomba mnisaidie nina tatizo, toshiba laptop yangu nimeiformat, nimeweka win xp pro. Sasa nina tatizo kuwa sauti haijarudi licha ya sound driver kuonyesha kuwepo yaani zinaonekana ktk device mngmnt. Pia cd rom haionekani unapoopen my computa, naomba ushauri