DW wameelezea sababu za wamasai kufukuzwa Ngorongoro, ni ili wapewe Wawekezaji wafanye utalii wa kitajiri. Wamo Wachina

Kwa hiyo wakisema hao kwa sababu ni wazungu ndio umeacha kufikiria kwa kichwa chako?
Kuna uongo gani hapo?kwani hatukusikia juu ya vurugu zilizokuwa zinajiri loliondo kwa watu wanaoleta ubishi kuhama?hizi njaa na ubinafsi vitawafikisha pabaya kisa unakula na kusaza unajitoa ufahamu kabisa
 
Hili suala la Ngorongoro linafanywa kisiasa sana.
Hivi kati ya mtu kujengewa nyumba alafu anapewa hatimiliki ya kiwanja chake na kuishi porini kama mnyama kipi bora?

Hivi vyombo vya kimataifa navyo vina ajenda za hovyo tu!
Shida sio kupewa nyumba.Shida nani anakuja kukaa alipotolewa masai na atafanya Nini.
Uwe Unawaza kidogo.
 
MASAI HAWATAONDOLEWA WOTE, KINACHOFANYIKA NI KUPUNGUZA IDADI YAO, ILI HALI IWE PROPOTIONALY.
 
Kuna uongo gani hapo?kwani hatukusikia juu ya vurugu zilizokuwa zinajiri loliondo kwa watu wanaoleta ubishi kuhama?hizi njaa na ubinafsi vitawafikisha pabaya kisa unakula na kusaza unajitoa ufahamu kabisa
HAwa ni wajinga
 
Hawa wajinga hawawezi kukuelewa
 
Hili suala la Ngorongoro linafanywa kisiasa sana.
Hivi kati ya mtu kujengewa nyumba alafu anapewa hatimiliki ya kiwanja chake na kuishi porini kama mnyama kipi bora?

Hivi vyombo vya kimataifa navyo vina ajenda za hovyo tu!
Naona uko OP ipi dhamira ya watu kuondolewa? Ni kujengewa nyumba? Acha ujinga . Makazi ya tandale mbona hayaboreshwi? Au hifadhini tu?
 
Hili suala la Ngorongoro linafanywa kisiasa sana.
Hivi kati ya mtu kujengewa nyumba alafu anapewa hatimiliki ya kiwanja chake na kuishi porini kama mnyama kipi bora?

Hivi vyombo vya kimataifa navyo vina ajenda za hovyo tu!
Moja ya agenda ni kumfanya mbongo abaki alivyo ili kuvutia" utalii wa kumwona mbongo"..mimi sihami hii nchi..ni stressfree.
 
Sasa kwani Kuna shida gani? Wamasai wanahamishwa na hawafukiswi.

Matajiri wanaleta pesa na wanatunza mazingira,Kuna tatizo kwani?
 
Da! Tumefikia hapa kweli?
Awamu hii mbona ukatili unazidi kutamalaki!
Wa Tanzania tusiposimama pamoja kupinga unyama huu kesho ni sisi!
 
Ujinga wenu nyinyi baadhi ya wasomi wa humu mmekuwa walaji wakubwa wa Western propaganda on Africa. Kika taarifa inayotolewa na media za Magharibi munaziamini ni za kweli na zinawatetea waafrika. Huu no ukoloni mamboleo wa dhahiri shahiri.
Kwa taarifa yenu wamagharibi wamewekeza Sana kwenye media, hadi kufikia kiwango Cha nyinyi kuwaamini Sana, ili wa push agenda zao za masilahi yao na sio masilahi yenu nyinyi weusi. Kila sehemu masilahi ya wamagharibi yanapohatarishwa, silaha ya kwanza huwa ni media. Wakitaka kugombanisha watu, silaha ya kwanza ni media. Rejea jinsi Kwame mkuruma alivyogombanishwa na raia wake miaka ya mwanzo tu ya Uhuru wa Ghana juu ya Bei ya kokoa. Rejea kadhia ya Gadafi pale Libya, rejea kadhia ya Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere ni Hawa Hawa DW wakitaka kutia doa. Mifano ni mingi lakini tusiwape watu wengine majukumu yetu na mustakabi wetu eti tu kwasababu ni media za mataifa makubwa, uka weka much trust kwao. Hilio ni tatizo kubwa na limeharibu na linaendelea kuharibu mataifa mengi ya ulimwengu wa tatu. Mwisho wa yote sis Watanzania hatupotayari kwa propaganda hizo kuzimeza Kama zilivyo hata Kama wao ni wakubwa tunajua wapo hapo kulinda ugali wao. Labda watuvamie direct lakini sio kwa media propaganda. Kama mjerumani anataka kuwekeza huko aweke mpunga mnono na sio kuchukua bure Kama alivofanya kwa mababu zetu enzi za ukoloni.
Mjerumani hatutomwamini Tanzania mpaka atuombe msamaha kwa mauaji ya wazee wetu aliyoyafanya. Yeye amewaua wamama wajawazito na Waume na watoto wa Tanzania mamia kwa maelfu.
 
Wakati mwingine zipo tujue Kuna agenda ya kitaifa, lazima tuitazame na kuijadili kitaifa na sio kisiasa. Tunakosea Sana, kiongozi kwenye agenda ya kitaifa anaweza kukosea approach, lakini malengo yakawa mazuri lakini ukosoaji usiwekwe kwenye sura ya kisiasa. Alifanya Lisu kwenye sakata la makanikia juu ya mikataba ya ACACIA na serikali wakati mzee Magu anahangaika kuikwamua nchi kwenye minyororo Lisu anasimama hadharani na kutoa mapungufu ya approach za Magu, Jambo ambalo lilikuwa linakwamisha juhudi, hata kama kulikuwa na makosa Lisu hakukosa njia ya kumfikia Magufuli akamweleza mapungufu ya approach yake. Lakini Lisu aliona mapungufu Yale Kama fursa ya yeye kujitanua kisiasa. Sasa sisi wananchi wa Siku hizi hatupo hivo. Humu jamiiforum sio wote ni wanasiasa ila sisi wengine tupo humu kupata habari zenye agenda ya kitaifa, na fursa mbalimbali za kusogeza mbele maisha yetu. Sio umbea.
 
Propaganda zinaonekana wazi wazi na ukweli unaonekana wazi wazi. Ni mchango gani Mwarabu na Mchina ametoa katika uhifadhi wa utalii hapa Tanzania ? Tuna chuo bora cha utalii Mwaka. Nani anakifadhili hicho chuo. Katika kurudisha idadi ya Faru mbugani huu miradi ulifadhiliwa na nani ? Huyu ni rais anachojali ni kuuza kila kitu maisha yaende. Msala anawaachia watakaokuja.

Kuhusu kuombwa msamaha na Ujerumani ni ujinga. Ma nigger hayaendelei Marekani kwa sababu wana fikra kwamba wanatakiwa kulipwa kwa ajili ya mateso ya mababu zao. Toka mwaka huu uanze wanavamia maduka na kuiba. Wakipewa food stamps wanatulia. Wanalalamika inabidi wapewe hela kila mwezi kulipiza mateso ya mababu zao.
 
Wasukuma wamehamishwa sana kupisha migodi,na mchango toka sekta ya madini ukakua,wamasai wapishe tupate hela, wamasai siyo spesho
Wasukuma wanaamishwa toka wilaya moja kwenda nyingine na si mkoa mmoja kwenda mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…