Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo dogo kwa lukaku ni "bora liende" , Lukaku ana mzuka wa kupiga Mpira sema sio professional tu. Dyabala ni Dele Ali v2.0Ko mamaester utd wameona lukanyavu na sanchez ni bora kuliko huyo dogo?
Ndo mana wanashika namba sita kila mwaka hahaaa
huyo dogo kwa lukaku ni "bora liende" , Lukaku ana mzuka wa kupiga Mpira sema sio professional tu. Dyabala ni Dele Ali v2.0
ATASAIDIA SANA..NI MCHEZAJI MZURI...AKIWA COMBINATION MOJA NA YULE MKOREA HEUNG MIN SON NA KANE, PATAPENDEEZA
SAWA MKUU PAMOJAUnaujuwa sana mpira, Big up chief!
Ni rasmi sasa kwamba Paulo Dybala atajiunga na Tottenham kwa dau la €70M akitokea Juventus.
Mnasemaje wash'kaji wangu wa nguvu mnaopenda soka ?
Da!! Mkuu, kumbe hata soccer uko vizuriATASAIDIA SANA..NI MCHEZAJI MZURI...AKIWA COMBINATION MOJA NA YULE MKOREA HEUNG MIN SON NA KANE, PATAPENDEEZA
YEAH MPIRA PIA HUWA NAFUATILIADa!! Mkuu, kumbe hata soccer uko vizuri
Lukaku 2017/2018 alifunga magoli 27 united, Dyabala alifunga magoli 26 juve. Lukaku ni mfungaji bora wa muda wote wa Belgium, Dyabala kwenye timu ya taifa amezidiwa magoli na Higuain. Uwe unaangalia serial A uone Dogo alivo wa kawaida. Hana mbio, yeye ni kuzunguka tu na mpira. Kwa mzunguko ule akija EPL atasahaulika kabisaaa.Huenda ukawa sio shabiki wa mpira ila msemaji tu kama haji manara. Yani unamfananisha lukaku na fundi dybala! Huyu huyu dybala goal scorer wa juventus kabla ujio wa cr7?
Lukaku 2017/2018 alifunga magoli 27 united, Dyabala alifunga magoli 26 juve. Lukaku ni mfungaji bora wa muda wote wa Belgium, Dyabala kwenye timu ya taifa amezidiwa magoli na Higuain. Uwe unaangalia serial A uone Dogo alivo wa kawaida. Hana mbio, yeye ni kuzunguka tu na mpira. Kwa mzunguko ule akija EPL atasahaulika kabisaaa.
Hatareee hapa son, hapa diabala ,hapa cane,hapa lukasi shughuli ipo