Dybala kutua Tottenham sasa !

Dybala kutua Tottenham sasa !

Tunasema Amen! Kmcoz hakuandikiwa kuwa akitoka juve lazima sense man u. Leta chanzo cha habari yako
 
Ko mamaester utd wameona lukanyavu na sanchez ni bora kuliko huyo dogo?
Ndo mana wanashika namba sita kila mwaka hahaaa
huyo dogo kwa lukaku ni "bora liende" , Lukaku ana mzuka wa kupiga Mpira sema sio professional tu. Dyabala ni Dele Ali v2.0
 
Ni rasmi sasa kwamba Paulo Dybala atajiunga na Tottenham kwa dau la €70M akitokea Juventus.
Mnasemaje wash'kaji wangu wa nguvu mnaopenda soka ?

Mungu akipenda from now nitaanza kufuatilia spurs kwa ujio wa fundi dybala, japo hela ndogo sana iyo kwa magician dybala.
 
Huenda ukawa sio shabiki wa mpira ila msemaji tu kama haji manara. Yani unamfananisha lukaku na fundi dybala! Huyu huyu dybala goal scorer wa juventus kabla ujio wa cr7?
Lukaku 2017/2018 alifunga magoli 27 united, Dyabala alifunga magoli 26 juve. Lukaku ni mfungaji bora wa muda wote wa Belgium, Dyabala kwenye timu ya taifa amezidiwa magoli na Higuain. Uwe unaangalia serial A uone Dogo alivo wa kawaida. Hana mbio, yeye ni kuzunguka tu na mpira. Kwa mzunguko ule akija EPL atasahaulika kabisaaa.
 
Lukaku 2017/2018 alifunga magoli 27 united, Dyabala alifunga magoli 26 juve. Lukaku ni mfungaji bora wa muda wote wa Belgium, Dyabala kwenye timu ya taifa amezidiwa magoli na Higuain. Uwe unaangalia serial A uone Dogo alivo wa kawaida. Hana mbio, yeye ni kuzunguka tu na mpira. Kwa mzunguko ule akija EPL atasahaulika kabisaaa.

Ujui kutofautisha wachezaji. Lukaku ni striker, na Dybala ni foward/Attacking midfielder,,sasa watafanana vipi? Ni kama Messi/Attacking Midfielder umringanishe na cr7 Striker.


Higuain ameanza kitambo kuchezea timu ya taifa kwanini asiwe na magori mengi ukizingatia wanacheza position tofauti. Wakati dybala hakucheza sana timu yake ya taifa, Messi akiingia uwanjani yeye anakaa benchi anasubiri mpaka Messi aumie!!


Kuusu kusahaulika epl huo ni mutazamo wako jomba.
 
Dalmine spurs miaka iliyopita walisema hawasajili kwasababu wanajenga uwanja,ni kweli tuliona namna Mungu alivyowasimamia maana ingekuwa timu nyingine ingeshika hata nafasi za mwisho lakini pochettino pamoja na uongozi wamehakikisha timu inapambana
 
Back
Top Bottom