Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawajambo Mpwapwike mkuu?Shika Adabu yako! Heshimu Makabila ya Wenzio. Sio kila la Hovyo ni la wanyamwezi.
Huu mchezo hauitaji HASIRAHili tangazo tafadhari sana lazima lilipiwe maana hamna cha maana ulichoandika
Huu mchongo wa Kitenge sema ameamua kuwapa shavu n wenzake wanapokeza oscar n maestro km wiki hii zamu ya oscar ijayo maestrohata watangazaji wa efm wamekula shavu la kwenda south africa kila ijumaa kutamgaza mechi za la liga kwa kiswahili super sports
Anaujua mpira sio mbabahisajioscar oscar ana akili sana huyu jmaa
xxl yenyewe mbovu siku hizi, utakuta wana interview msanii huku wanajadili vitu vya kijinga wakati huo mda unaenda. Mda umeisha hawajamuoji kitu cha maana, achilia mbali hayo matangazo sasa.Mkuu umenena,yaani mawingu wamebaki na xxl tu
Mbona jamaa alikuwa anasifia kwamba ilikuwa poa kama unyamwezini/ulaya au mi ndio sijaelewaShika Adabu yako! Heshimu Makabila ya Wenzio. Sio kila la Hovyo ni la wanyamwezi.
Kabanga mwenye sura mbaya,mambo vipi mkuuHongereni mnaopata nafasi ya kusikiliza stations tofauti za radio mpaka mkajua kufunikana...!
Nakubaliana na hoja me n msikilizaji wa radio zote e.fm wanafanya vizuri hata ukilinganisha vipindi clouds washapigwa gap
Power breafast vs Joto la asubuhi > p.b cku izi ina imeopooza ngoja j'3 tutaona joto la asubuhi itakuaje
Leo tena vs Uhondo > leo tena ya sasa sio km ya zaman yule da huu, mus na jose mara hamna wanchofanya zaidi ya kuongea umbeya, n uteam uhondo hata mpangilio vitu unavyosiki vimepangiga dina n swebe wanafanya vizuri
Jahazi vs Ubaoni > jahazi kimebaki kipindi cha matangazo na kupeana salama mda mrefu n bora hata usikilize ubaoni utojuta n utafurahi
Sports xtra/roundup vs Sports headquaters hapa clouds ndo wameachwa mbali wakina shafii wamebaki kutoa habari za goal.com kwny uchambuzi yule alex na wakina issa maeda hamna kitu, mbwiga anapiga kelele tu na ukija e.fm unasikiliza michezo n uchambuzi hadi unafurahi uku oscar ocar, ibrahim masoud "maestro", tunu hassan, kitenge maulid, suddy mkumbo, musa mwakisu. Yusuphmkule uwezi kuona gap hata mmoja asipokuwepo
Clouds wamebakiwa n xxl na amplifier tu ndo vipindi wanaweza kujivuniA
Tunaipata Efm kupitia kisimbusi cha Azam.....so haipatikani dar pekeeKatika hali ya kustaajabisha ni kwamba redio mpya tena ina miaka miwili tu tangu ianzishwe na inakamata mkoa mmoja tu(DSM),inazidi kubamba na kupaa kila kukicha kiasi kwamba imezifunika redio kongwe zote,hadi Clouds fm ambayo ndio redio inayosumbua kwa hapa Tz inafunikwa na redio ndogo tu (E fm),kama unabisha basi wewe una lako ila kwa hapa DSM habari niE fm tu kila kona.na ndio maana clouds wameamua kuibadilisha ile redio yao ya Choice fm(102.5).wameamua kuiharibu hiyo redio na kuifanya iwe kama E fm ila haiwezekani,kwa wanaoijua choice fm ilivokuwa mwanzo na sasa watanielewa ninachomaanisha.soon tutaisikia clouds nao wanaanzisha vipindi vya miziki ya minanda na miduara,tusubiri kuona clouds ikiendelea kuongeza watangazaji kila siku
Clouds ni bado redio yenye jina kubwa, ila ukiskilza Efm unajua ni redio iliyo kikazi zaid
Na hasa department ya michezo kina Maulid wana piga kaz
Mi naikubal sana Efm kwa kweli
Choice toka waingie kwenye kiswahili kama siwaelewi hivi
Ratiba ya monday to friday hiiMkuu kidogo wewe umechangia bila kuonyesha mihemko yako binafsi...napenda sana jinsi ulivyochambua hivyo vipindi pamoja na wahusika wake,niko mkoani sijawahi kuisikiliza hii radio E-FM ila majina ya vipindi tu jinsi yalivyo umenishawishi namimi niwasikilize nione kama yaliyomo yamo kweli au laah....ebu tusaidie na mida ya vipindi vyao bhasi ili niwasikilize kwenye tunein app