e-GA inahujumiwa

Nape anakabidhi mfumo NMB wa jamii number ambao ndio mzizi wa uraia wa mtanzania na passport za watanzania wote kweli? ivi wewe unajua National security act? Nape na wenzake wame commit treason
Hii haitakiwi kuishia Jamiiforums.com iende mbele. Treason ni kosa kubwa sana na Lina gharimu maisha.
 
Waziri ni yule bumunda nape?
 
Acha mambo ya darasani ya kukariri notes ulizodanganywa

Bado unaamini mambo ya darasani ,Naona unatao lecture wakati walimu wako hata mwana sesere hawawezi tengeneza
Jibu hoja zake. Leta ripoti ya IT audit ya NMB!!! Na mengine.
 

hakuna na haiwezi tokea 😂 😂 😂 , MICROSOFT imejikita zaidi kwenye personal computers na sio Enterprise! kwenye Enterprise kuna ligi tafauti microsoft hayupo uko! have you ever herd of LINUX? ORACLE?
 
Huijui e-GA ,wewe mganga njaa umetumwa na wazee wa 10%
Yaani mzalendo wa kweli aruhusu mifumo ya serikali iendeshwe na NMB?
Nyie mnatakiwa na wazee wako kukiri mmepuyanga




apo vp?
 
Huijui e-GA ,wewe mganga njaa umetumwa na wazee wa 10%
Yaani mzalendo wa kweli aruhusu mifumo ya serikali iendeshwe na NMB?
Nyie mnatakiwa na wazee wako kukiri mmepuyanga

EGA is one of the worst we have ever had 😂 😂 😂
 
😂 😂 😂 hio EGA unaijua au unaiskia?
 
Kutumia NMB ni kutumia mifumo ya nje?
Hiyo mifumo inayotengenezwa na wazawa kwanza inarun kwenye operating system za nje, inatengenezwa kwa programming language za nje? Hardware zake na storage zake ni za nje. Networking devices zote ni za nje.
Hardware za nje,vp configuration nazo ni za nje?

Programming kweli ni language za nje,vp scripting na code ni za nje?

Si zungumzii tools na zungumzia designing, kwani wewe unazani Urusi,Iran,Chin wanataumia language gani? Sii hizi hizi za US,ila instruction/code ndizo wanatengeneza wao. So huwezi kumwachia mtu code au configuration zako,utakuwa sawa sawa unauza ramani ya vita
 
Ni kitu gani kwenye mfumo mzima unachotengeneza ambacho wao hawakijui, technology ni yao vifaa ni vyao halafu unajidai na lipi?
Wote mnaweza kutumia AutoCAD,ila mkatoa michoro tofauti, wote mnaweza kutumia Java Promming language ila mkatoa code tofauti na hapo ndipo unapo sikia technology ya taifa fulani ni tofauti ya taifa fulani, sababu tu ya creativity ktk code.

China yule anatumia vifaa vya US kwa baadhi ya Service zake,ila configuration ni za kwake,Russia nae hivyo hivyo ila Code na Configuration ni za kwake.

Ukijua Code/Configuration ya kitu chochote una uhakika wa 90% ya kuhack huo mfumo na kufanikiwa.

Halafu kama hujui mitamambo inayo tengeneza Pepsi ndio hiyo hiyo inayo tengeneza Coca, wanacho tofautiana Formula.Formula ndio uti wa hizi kampuni za vinywaji. Same tu huku IT mnaweza kutumia program language moja ila Code/configuration tofauti.
 
Kupitisha trillion sio ishu ishu ni are they secured. Mara ngapi umesikia pesa zimechepushwa na ni mara ngapi umesikia bank ya NMB wamepigwa hela?
Hivi unajua moja chachu ya kuongezeka kwa mapato ya Tz ni GePG sasa kama sio secure why kila siku mapato yana ongezeka?

Unaweza kunipatia ripoti yoyote ya ukaguzi ya IT ktk bank ya NMB?

Au ushajiuliza pamoja na kuwa na mauditor CISA certified upande wa IT,washawahi kutoa ripoti zao za ukaguzi ya mifumo yao na kuwapa taarifa wateja wao?

Tatizo lenu hamzijui hizo taasisi,ila sisi tulio ndani tunawajua na tunaona,husi tegemee taasisi ya bank ikuambie imepigwa,sababu kufanya hivyo wanaji haribia kibiashara, reputation ya kampuni yao na kupoteza trust kwa wateja.

Wewe husikii sababu haupo ndani ya industry hii ya IT na huto sikia utaishia usikia sifa nzuri nzuri.
 
Acha mambo ya darasani ya kukariri notes ulizodanganywa

Bado unaamini mambo ya darasani ,Naona unatao lecture wakati walimu wako hata mwana sesere hawawezi tengeneza
Hivyo nilivyo viandika havifundishwi darasani bali ni vitu ukitaka kuvijua practically uingie kwenye Industry.

Siuzi chai na unaongea hivyo sababu hata ww huvijui na ni mweupe,hiyo knowledge niliyo iandika huipati darasani labda uwe mjanja kwenye kwenye channel za Udemy.
 
This is at the level ya watendaji wa kati na wa chini

Theoretical and ignorant

Kinachojadiliwa hapa kiko way above your league…. Ni strategic

Baki huko chini… with lots of word - pure bolts and nuts
 
Kwahiyo sio hujuma tena
Tatizo hujakielewa nilicho kiandika sababu ya knowledge yako ndogo ya Cybersecurity ila kwa anaye elewa anajua risk ya hiki kinacho fanyika.

Sio kosa lako tatizo huna unacho kijua ktk field hii ya Cyber.
 
This is at the level ya watendaji wa kati na wa chini

Theoretical and ignorant

Kinachojadiliwa hapa kiko way above your league…. Ni strategic

Baki huko chini… with lots of word - pure bolts and nuts
Huna unacho kijua kaka mimi nipo kwenye field hii wewe endelea na oya oya zako.

Ndio maana nilikuambia nipinge kwa hoja za kisecurity upande wa IT, ila naona unajaza chai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…