TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Aisee!!! Sikujua hiliunakomalia e-GA utadhani core banking ya NMB ametengeneza developer wa NMB , hio mifumo ya NMB core system haijatengenezwa na watoto wa NMB .
tatizo rushwa imekupofusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!!! Sikujua hiliunakomalia e-GA utadhani core banking ya NMB ametengeneza developer wa NMB , hio mifumo ya NMB core system haijatengenezwa na watoto wa NMB .
tatizo rushwa imekupofusha
Hii haitakiwi kuishia Jamiiforums.com iende mbele. Treason ni kosa kubwa sana na Lina gharimu maisha.Nape anakabidhi mfumo NMB wa jamii number ambao ndio mzizi wa uraia wa mtanzania na passport za watanzania wote kweli? ivi wewe unajua National security act? Nape na wenzake wame commit treason
Waziri ni yule bumunda nape?Miezi takribani sita imepita niliandika juu ya njama za viongozi waandamizi wa serikali kuihujumu mamlaka ya serikal mtandao(e-GA). Mipango ya e-GA kuzuiwa kufanya majukumu ya uundaji wa mifumo ya serikali ili waandamizi watafute kampuni binafsi kufanya hayo imeanza kufanikiwa.
Leo Wizara ya TEHAMA imeingia makubaliano na NMB ili NMB iwe inalipwa na serikali kutengeneza mifumo ya TEHAMA ya serikali.
Kwa mujibu wa MOU iliyo sainiwa leo , NMB atatoa wataalamu wa TEHAMA(Software developers) kutengeneza mfumo utakao replace NIDA na RITA ,kama mnavyofahamu ,serikali inakuja na jamii number ,namba ambayo mtoto akizaliwa atakuwa nayo na atakua nayo ,initiative nzuri sana lakiniiiii, kulikua na ulazima gani wa mradi nyeti kama huu kupewa taasisi binafsi? wafanyakazi wa NMB wana proper vetting kuanza kushika mifumo ya siri namna hii?
Achana na jamii bima, ESB ambayo tayari ipo e-GA na inafanya kazi, Wizara ya TEHAMA imeamuru NMB kupewa tender kupitia MOU hio wao ndio watengeneze ESB ya serikali, yaani mawasiliano ya mifumo yote ya serikali ananyang'anywa e-GA na anapewa NMB why?
Hivi nchi hii tuna mawaziri wanaofikiria kweli? Haya ndio mambo ya waziri alikuja na kufuta physics akasema iwe physics with chemistry, waziri huyo wa zamani alifuta masomo ya biashara na kilimo pia kabla ya serikali ku reverse maamuzi hayo, lakini kama mnakumbuka kuna watanzania walifutiwa masomo hayo.
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa maslahi ya nani?
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa kumkomoa nani?
View attachment 2883959
Jibu hoja zake. Leta ripoti ya IT audit ya NMB!!! Na mengine.Acha mambo ya darasani ya kukariri notes ulizodanganywa
Bado unaamini mambo ya darasani ,Naona unatao lecture wakati walimu wako hata mwana sesere hawawezi tengeneza
Muongohakuna shirika lolote la serikali linatumia microsft, hata internet ya NASA yenyewe tafauti na yetu
Muongo
Huijui e-GA ,wewe mganga njaa umetumwa na wazee wa 10%
Yaani mzalendo wa kweli aruhusu mifumo ya serikali iendeshwe na NMB?
Nyie mnatakiwa na wazee wako kukiri mmepuyanga
Huijui e-GA ,wewe mganga njaa umetumwa na wazee wa 10%
Yaani mzalendo wa kweli aruhusu mifumo ya serikali iendeshwe na NMB?
Nyie mnatakiwa na wazee wako kukiri mmepuyanga
😂 😂 😂 hio EGA unaijua au unaiskia?Hao jamaa itakuwa hawaifahamu eGa, au ni miongoni mwa wapigaji, maana Ega ipo Kwa ajili ya kuzuia mianya yote ya upigaji.
Nakupa mfano mmoja tu wa Mfumo wa taifa wa kuunganisha mifumo yote GOVESB watu walikuw wanakula Hela kwenda mifumo yao taasisi Kwa taasisi, sisi tukatengeneza GOVESB Kila taasisi isajili Mfumo wake hapo, then atakae taka data za mwenzie anazikuta hapo kwenye GOVESB shughuli imeisha tena free of charge.
Kwahiyo zile fedha za kwenda kuunganisha taasisi Kwa taasisi watu hawapati tena mana sasa kupata data ni Bure.
Nadhan Kwa mfano huo mmoja inatosha,
Bado sijagusa GEPG , unadhan Serikali inaingiza mapato kiasi gani kupitia GEPG ni zao la EGA , so mtu yeyote anayeisema vibaya EGA jua kabisa mirija yake ya ulaji imezibwa au haifahamu vizuri EGA.
Kwa maelezo zaidi kuhusu EGA tembelea tovuti yetu ya e-GA | Mwanzo
Hardware za nje,vp configuration nazo ni za nje?Kutumia NMB ni kutumia mifumo ya nje?
Hiyo mifumo inayotengenezwa na wazawa kwanza inarun kwenye operating system za nje, inatengenezwa kwa programming language za nje? Hardware zake na storage zake ni za nje. Networking devices zote ni za nje.
Wote mnaweza kutumia AutoCAD,ila mkatoa michoro tofauti, wote mnaweza kutumia Java Promming language ila mkatoa code tofauti na hapo ndipo unapo sikia technology ya taifa fulani ni tofauti ya taifa fulani, sababu tu ya creativity ktk code.Ni kitu gani kwenye mfumo mzima unachotengeneza ambacho wao hawakijui, technology ni yao vifaa ni vyao halafu unajidai na lipi?
Hivi unajua moja chachu ya kuongezeka kwa mapato ya Tz ni GePG sasa kama sio secure why kila siku mapato yana ongezeka?Kupitisha trillion sio ishu ishu ni are they secured. Mara ngapi umesikia pesa zimechepushwa na ni mara ngapi umesikia bank ya NMB wamepigwa hela?
Hivyo nilivyo viandika havifundishwi darasani bali ni vitu ukitaka kuvijua practically uingie kwenye Industry.Acha mambo ya darasani ya kukariri notes ulizodanganywa
Bado unaamini mambo ya darasani ,Naona unatao lecture wakati walimu wako hata mwana sesere hawawezi tengeneza
Huna content yoyote uliyo andika ambayo inagusa maswala ya Security, so endelea na mipasho na taarabu zako.Uko shallow and emotional
Very bad combo
Kwahiyo sio hujuma tenaHuna content yoyote uliyo andika ambayo inagusa maswala ya Security, so endelea na mipasho na taarabu zako.
This is at the level ya watendaji wa kati na wa chiniSasa mwanahisa tokea lini akapewa code,configuration mimi na zungumzia wafanyakazi wa nje wanaofanya kazi NMB, wenye access na mifumo na network ya NMB ambao wanafanya kazi kwa mikataba (Technical Part)...... hivi unajua ramsomware attack? Halafu akuache baada ya mkataba wake kuisha wakati chocho zote anazijua.......
Niletee audit report ya NMB upande wa IT....... kama haipo ushajiuliza why hawaiweki hadharani?Wewe najua hutaki na siasa umezijaza kichwani,ila bank zote zinapigwa kila siku na wewe huwezi jua na hautokuja kujua, sababu taarifa zake haziendi public. Kuna taasisi naijua nishafanya nayo kazi 2019,network/mifumo yao ipo chini ya wahindi ila walipigwa na Ramsomware attack wakalipa hela ndefu.
Hivi source kuu ya Cybersecurity attack unazijua ?
Unaijua Ramsomware Attack,White and black hat wanavyo fanya kazi ........?
Hivi ushawahi kuingia kwenye device yoyote ile server,storage au any network device.....au hata kudisplay "hello world... " kwa kitumia programing language yoyote ?
Naona kama naongea na wanasiasa,kwani nazani hutonielewa.
Vitu vingine ukikaa kimya hupungukiwi kitu, ila duniani halipo taifa linalo wapa watu wasio waamini mifumo yao na network yao halipo taifa hilo na hamna tasisi yyt ambayo haijawa attacked kama sio leo basi kesho.
CIA,FBI, MOSSAD nk washapigwa, pamoja wamewaajili watu wanao wajua na walio wafanyia vetting.
Tatizo hujakielewa nilicho kiandika sababu ya knowledge yako ndogo ya Cybersecurity ila kwa anaye elewa anajua risk ya hiki kinacho fanyika.Kwahiyo sio hujuma tena
Huna unacho kijua kaka mimi nipo kwenye field hii wewe endelea na oya oya zako.This is at the level ya watendaji wa kati na wa chini
Theoretical and ignorant
Kinachojadiliwa hapa kiko way above your league…. Ni strategic
Baki huko chini… with lots of word - pure bolts and nuts
Kuna mambo ambayo Mh. Rais anadanganywa sana kwa sababu ya kuamini watalaam ambao nao wa.ekuwa wapiga deal!Inasikitisha sana, hapo utakuta rais mwenye keshapewa 10% yake wala hana habari!