e-GA inahujumiwa

Unajua kwa nini TTCL inachemka? Ila kama hujui ile Airtel nayo ilijengwa juu ya TTCL,sababu ni hizi hizi ten percent,leo mnawaona hawana maana.

Siasa ndio inazikwanisha taasisi nyingi za kiserikali. Sasa kama TTCL wabovu why Staff wao ni Lulu kwenye hizo taasisi binafsi? Wakati wao ni wabovu,tokea lini taasisi mbovu ikatoa mastaff wenye uwezo mkubwa.

Umesikia habari ya TTCL sababu ni taasisi ya uma una haki ya kupata taarifa.Hivi ushajiuliza why husikii ubovu wa NMB,CRDB.....? Ila sisi tuliopo tunaona tunajua tunavyo viona na ndio maana hatupendi taarifa nyeti za serikali ziwe chini ya hizi sekta binafsi,hasa zenye wafanyakazi wa nje. Ila tunajua wanyo pigwa na Ramsomware Attack kila kukicha, sababu kama wakitoa ripoti zao za audit,kesho asubuhi watu wanapanga foleni kutoa hela zao.

Bi Mkubwa simlaumu sasa namuombea wanao mzunguka wamshauri vizuri.
 
Siasa ndio inazikwanisha taasisi nyingi za kiserikali. Sasa kama TTCL wabovu why Staff wao ni Lulu kwenye hizo taasisi binafsi?
Siasa zipi? TTCL ipo incompetent hilo liko wazi. Hivi kampuni ina wateja active laki 1 katika industry ya watu Million 24+??

Huko hakuna KPIs, hamna mtu yuko under pressure maana mshahara uko pale pale akizalisha au asipozalisha.

Badilisheni mfumo wa kuendesha taasisi za serikali ikiwezekana wasiajiri mtu ila waweke performance based bonuses na commissions ndio utaona mabadiliko ila hii ya kwamba mtu aki underperform hana la kufanywa haliwezi kutufikisha popote.
 
Ushajiuliza why,ipo incompetent?

Unazani TTCL hawapendi kuwa competent kama kampuni nyingine?
 
Huku kwenye tehama ni upigaji mupya mamifumo mengi yasipoangaliwa vyema yatabaki kuwa butu
 
Nyie bishaneni , wekeni ligi ila msisahau kupita hapa

 
Cha muhimu ifanye kazi 😂
 

Naona umeweka kura ya veto [emoji23][emoji23]
 
umeeleza vyema sana
 
hii kasumba ilikua ya zamani ,mbona e-GA wanafanya kazi vizuri sana, mimi sielewi wanaoponda e-GA wanatumia mifano ipo , project zipi zimechelewa na zilitakiwa zitumie muda gani.
Nest ya procurement mfano mzuri sana ,bonge la project watoto wa kitanzania wa e-GA wametoa vizuri sana
 
kuna watu hawaelewi majukumu ya taasisi,wao wakiona kila jambo wanahisi ni jukumu la kila taasisi.
Hawana weledi waache
 
sasa kutumia email watu wa e-GA ndiyo imekua na wewe mtu wa mfumo?
utakua unavyeti fake wewe jamaa
 
wanasiasa wameifanya TTCL iwe kilema ,same mistake wanataka kufanya kwa e-GA , wanataka e-GA iwe kama TTCL, isiweze kufanya kazi kabisa
 
sasa kutumia email watu wa e-GA ndiyo imekua na wewe mtu wa mfumo?
utakua unavyeti fake wewe jamaa

kama unataka ukwel wa hio taasisi basi ukweli ni kwamba ni ya kufunga haina umuhimu! ila kama mnataka kubishana basi endeleeni
 
TTCL imeangushwa kwa siasa ,kama mnazozijenga kwa e-GA ,non tech people wanaingilia tech issues , wanalazimisha kampuni isiyo na uwezo wa kutengeneza mifumo ,kampuni ambayo kazi yake banking mnaipa kutengeneza mifumo ,matokeo yake ni hayo,mnaua taasisi za umma ili muinue taasisi binafsi na mpige hela .
Mnaaibisha sana ,na nyie ndio mnafanya serikalin kuonekane watu zero brain
Si mngetafuta hata kampuni yeyote ya kutengeneza software ili ijulikane kabisa mnataka e-GA asitengeneze mifumo.
Yaani unaona sawa kabisa bank kupewa tender ya kutengeneza software?
Rushwa hupofusha
 

ni sawa kabisa yaaani na ndo inavotakiwa, ufanisi wa kazi ni muhimu zaidi ya jina lako! unaweza ukawa na jina kubwa ila katika kazi mbovu, kabla ya private companies kuanza NASA walikua wanatengenezewa rocket na russia, uliskia malalamiko?

- tanzania anauziwa simu na wachina na wamarekani umeskia malalamiko?
ukweli ni kwamba EGA ni taasisi ya hovyo kuwahi kutokea na inatakiwa kuondolewa ndo maaana mpaka leo hawana hata tuzo ya ufanisi yaani ata ilioandaliwa na mtu binafsi hakuna

ila kwakua mna asilimia zenu pale ndo mtulie sasa washapewa NMB, na ikiwezekana president aifunge tu maaana mpaka leo matokeo ya form 4 yakitoka huduma inazima ama ajira zikitangazwa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…