Unajua kwa nini TTCL inachemka? Ila kama hujui ile Airtel nayo ilijengwa juu ya TTCL,sababu ni hizi hizi ten percent,leo mnawaona hawana maana.View attachment 2887263
sio kitu cha kushangaza
Siasa ndio inazikwanisha taasisi nyingi za kiserikali. Sasa kama TTCL wabovu why Staff wao ni Lulu kwenye hizo taasisi binafsi? Wakati wao ni wabovu,tokea lini taasisi mbovu ikatoa mastaff wenye uwezo mkubwa.
Umesikia habari ya TTCL sababu ni taasisi ya uma una haki ya kupata taarifa.Hivi ushajiuliza why husikii ubovu wa NMB,CRDB.....? Ila sisi tuliopo tunaona tunajua tunavyo viona na ndio maana hatupendi taarifa nyeti za serikali ziwe chini ya hizi sekta binafsi,hasa zenye wafanyakazi wa nje. Ila tunajua wanyo pigwa na Ramsomware Attack kila kukicha, sababu kama wakitoa ripoti zao za audit,kesho asubuhi watu wanapanga foleni kutoa hela zao.
Bi Mkubwa simlaumu sasa namuombea wanao mzunguka wamshauri vizuri.