e-GA inahujumiwa

Wanatengeza mfumo ambao upo tayari. Mfumo huo upo, kazi ya NMB kutengeneza mfumo huo ya nini tena? Mtoa mada anahoja.
Thank you

Hoja ni uhitaji wa mfumo au la

Alipoingiza hujuma ikaleta bias
 
Ni ufisadi tu mkuu hakuna jingine. Huyu mama wanamuona kama ndizi tu mbele ya ngedere.
 
Mkuu unaweza kutuwekea hapa hiyo MoU?
 

eGa wako vizuri sana zaidi ya Sana, tunatumia Software zao kama ERMS, GMS, GISP, na MAJIIS. eGA moja la shirika Bora Sana la Kitehama Tanzania na Afrika Masharikii. Kama kuna mtu alishawahi tumia mfumo wa MAJIIS na ERMS atanielewa nini na maanisha.
 
Unajua unacho kiongea Bro? Sometimes bora kukaa,kimya mfumo unaopitisha matilion ya shillingi ufananishe na mfumo wa final Yr project ya mwanafunzi wa chuo......?

Halafu sio GEPS ni GEPG.
Final year project iliganishwe na GEPG, haki ya Mungu wabongo tunadharau sana. eGA moja ya taasisi bora Tanzania na Afrika Mashariki. MAJIIS na ERMS mifumo bora Afrika Masharikii.
 
hawana uzoefu wowote kwa kutengeneza software kama vijana wa E-GA
Acha uongo, CAG kasema e-Ga hawajawahi test mifumo yao kupima usalama dhidi ya udukuzi ndio uwalinganishe na IT wa mabenki? Get serious
 
eGa wako vizuri sana zaidi ya Sana, tunatumia Software zao kama ERMS, GMS, GISP, na MAJIIS. eGA moja la shirika Bora Sana la Kitehama Tanzania na Afrika Masharikii. Kama kuna mtu alishawahi tumia mfumo wa MAJIIS na ERMS atanielewa nini na maanisha.
Duh kumbe unajua kuliko CAG? Mbona amesema e-Ga is trash
 
umesema ukweli mtupu ,tusipowaamini vijana wetu tukawa tunaendekeza 10% tunaua innovation ya vijana wetu,leo hii mtu anadiriki kubeza mifumo kama ya GEPG kweli?

ERMS na MAJIIS ni kiboko, shida sisi wabongo tunadharau vya kwetu. MAJIIS Ni mfumo Bora wa Bili za maji Tanzania. Mamlaka zote za maji zinatumia huo mfumo wa Majiis. Tatizo watu wanabisha sababu hawajawahi kutumia hii mifumo. Naweza sema EGA ni Taasisi ya Tehama Bora Africa
 
Sio kweli, mbona NMB na e-Ga wana partnership kitambo tu na wamefanya miradi kadhaa pamoja. In fact ni hao e-Ga ndio walitangaza nia ya kufanya kazi na NMB
e-GA | Habari.
Pili NMB anatengeneza jamii number system kama nani?
Kama partner wa e-Ga na pia kampuni yenye uzoefu kuhandle miamala ya kielectronic kwa zaidi ya wateja milion 2 nchi nzima, pia wana data center ya kisasa yenye wabobezi wa machine learning n.k. na kuna ubaya gani kampuni ambayo serikali ni one of the two major shareholders ikipewa tender? Je wangepewa kampuni binafsi kama Vodacom si ndio mngelaani kabisa.
 
Tuko very emotional bila analysis

Thanks for sharing
 
Wanacomment kuhusu tasnia wasizozielewa.
Tena wanatumia open sourced kuna wengine wanatumia pirated kabisa.
 
Unajua unacho kiongea Bro? Sometimes bora kukaa,kimya mfumo unaopitisha matilion ya shillingi ufananishe na mfumo wa final Yr project ya mwanafunzi wa chuo......?

Halafu sio GEPS ni GEPG.
Kupitisha trillion sio ishu ishu ni are they secured. Mara ngapi umesikia pesa zimechepushwa na ni mara ngapi umesikia bank ya NMB wamepigwa hela?
 
Kutumia NMB ni kutumia mifumo ya nje?
Hiyo mifumo inayotengenezwa na wazawa kwanza inarun kwenye operating system za nje, inatengenezwa kwa programming language za nje? Hardware zake na storage zake ni za nje. Networking devices zote ni za nje.
 
bahati mbaya sana hujataka kuangalia e-GA wanachokifanya , wana produce best software na nina uhakika una image ya mifumo ya serikalini miaka 10 iliyopita huna experience latest ya mifumo ya serikali
Mkuu unaweza taja mfumo wao wowote ambao uko stable na hauna ushirikiano na private company?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…