e-GA inahujumiwa

e-GA inahujumiwa

ni mfumo wao 😂 😂 😂 , kwan we jamaa EGA unaijua vizuri kweli?

View attachment 2886968
Brother kaeni kimya vitu vingine ni kujipa aibu, Registrar sio creator wa mfumo

Hapo Registar ni msajili wa hiyo domain katika DNS zake, ili hiyo domain ambayo inamfumo ipatikane hewani.

Wewe unaweza ukawa Registar domain za mifumo ya taasisi mbali mbali binafsi na serikali na ukawa sio mtengenezaji wa huo mfumo.

Vitu vingine kama hamvijui kaeni kimya mnajidhalilisha. Halafu DNS ni basic ya IT yoyote anatakiwa kuijua.

Yaani daaaaahhhhh,halafu unakomaa kabisa kwa kitu husicho kijua na hicho ulicho kifanya hackers wanakitumia wanapo kusanya taarifa kabla ya kuattack.
 
Huwezi ukawa wewe tu ndio unanyamazisha watu, unakashifu watu simply by having a degree ya IT na kupata kaajira ka serikali

There is more to technical skills than overall knowledge ya mifumo ya umma

Endelea kufoka-foka
 
Sija mnyamazisha mtu ila nimemuelekeza kwani alicho kiongea hakijui.

Mimi siuzi chai kama wewe nipo kwenye field hii so mtu anapo potosha na mwelewesha.
 
Brother kaeni kimya vitu vingine ni kujipa aibu, Registrar sio creator wa mfumo

Hapo Registar ni msajili wa hiyo domain katika DNS zake, ili hiyo domain ambayo inamfumo ipatikane hewani.

Wewe unaweza ukawa Registar domain za mifumo ya taasisi mbali mbali binafsi na serikali na ukawa sio mtengenezaji wa huo mfumo.

Vitu vingine kama hamvijui kaeni kimya mnajidhalilisha. Halafu DNS ni basic ya IT yoyote anatakiwa kuijua.

Yaani daaaaahhhhh,halafu unakomaa kabisa kwa kitu husicho kijua na hicho ulicho kifanya hackers wanakitumia wanapo kusanya taarifa kabla ya kuattack.

ungetuliza wenge tu, list ya dns server zilzopo EGA unazijua?
 
Sija mnyamazisha mtu ila nimemuelekeza kwani alicho kiongea hakijui.

Mimi siuzi chai kama wewe nipo kwenye field hii so mtu anapo potosha na mwelewesha.
website ya NECTA ni kama blog tu, sio web app useme kuna configuration zmekaa vibaya ila ukwel ni kwamba wako hosted EGA na sio necta tu, taasisi zote za serikali unazozijua wewe zko hosted pale, cha ajab mpaka leo matokeo ya darasa la saba yakitoka mtandao unakua chini,

yaaani kwa lugha nyepesi EGA ni ya kufuta
 
una uhakika gan sjui? mm na wewe nan anaijua EGA kwa upana zaidi? ulishawahi kufanya project yoyote ambayo ni ua serikali? ama ndo umetoka chuo? ukiangalia apo juu nmekuonyesha emails ambazo ni za technial nkiwa naongea na EGA,

kwa lugha nyepesi EGA ni ya kufuta
 
Sikujui ila ulicho kiandika kuhusu Registrar hukijui.DNS,DHCP,IP nk ni kama a,e,I,o,u kwenye IT kwa kutokujua kwako wewe ni mweupe.

Registrar sio mtengeza mifumo.
 
website ya NECTA ni kama blog tu, sio web app useme kuna configuration zmekaa vibaya ila ukwel ni kwamba wako hosted EGA na sio necta tu, taasisi zote za serikali unazozijua wewe zko hosted pale, cha ajab mpaka leo matokeo ya darasa la saba yakitoka mtandao unakua chini,

yaaani kwa lugha nyepesi EGA ni ya kufuta
Hivi unajua tofauti katika ya Domain Registration, System Development na Domain Hosting.......... tuanzie hapo.
 
Sikujui ila ulicho kiandika kuhusu Registrar hukijui.DNS,DHCP,IP nk ni kama a,e,I,o,u kwenye IT kwa kutokujua kwako wewe ni mweupe.

Registrar sio mtengeza mifumo.
unajua maaana ya DNS SERVER?
 
Hivi unajua tofauti katika ya Domain Registration, System Development na Domain Hosting.......... tuanzie hapo.
mbna unarudi kile kile nshakwambia mifumo yote ya serikali iko hosted EGA na necta ni blog, sasa kama necta ni blog na anehost ni EGA nani wa kushikwa masharti apa?
 
swali rahisi sana DNS SERVER ni nani kwenye online app?

DNS ni protocol tcp port 53 ambayo kazi yake kuimapp IP Address na neno ambalo binadamu rahisi kulikumbuka,sababu IP Address ina contains long numbers ambazo binadamu hawezi kuzikumbuka. DNS ni server ambayo inakuwa kama file lenye list ya domains name and their corresponding mapped IP address.

Ambayo husaidia Web Applications ziwe rahisi,kukumbukwa mfano jamiiforum.com ukiiresolve unakuja kupata IP yake ambayo imekuwa mapped nayo kwenye DNS.(Hii ni basic knowledge ya IT yyt anatakiwa kuijua).

mbna unarudi kile kile nshakwambia mifumo yote ya serikali iko hosted EGA na necta ni blog, sasa kama necta ni blog na anehost ni EGA nani wa kushikwa masharti apa?

Hivi unajua maana ya kuwa host mfumo kuwa Registrar wa mfumo? Unaweza kuwa Registrar wa mfumo fulani na usihost huo mfumo.

Home Work.
Hivi kitu gani kina tambulisha huo mfumo Registrar wake fulani, ila umekuwa hosted na mtu mwengine.

Ukishindwa mtafuta hata Eli the Computer Guy ana video zake kibao Youtube maana Udemy kule na hela.

Narudia tena kama kitu hukijui kaa kimya huto pungukiwa kitu. Mimi kwenye baadhi ya forum za Uchumi na Historia hasa za matukio makubwa huwaga sipendi kuchangia sababu sina ufahamu mzuri kwenye hizo field.

So brother huna unacho kijua.
 
Taasisi yoyote nyeti huwezi kuingia bila TISS kujilizisha na kukufanyia vetting, vp kuna Bank binafsi ambayo inafanyiwa vetting na TISS,kama ipo nitajie.
Kifupi huo mradi wangepewa wafanyakazi wa serikali ngechukua miaka 30 kukamilika

Wafanyakazi wa serikali speed kwao ni kitu ambacho hakipo kwao Ingekuwa amri yangu ningeamuru Hadi serikali yote ibinafsishwe wako goigoi mambo kibao

Mtu aje hapa aseme ni ofisi Gani ya serikali Ina speed kwenye utendaji kazi ukilinganisha na sekta binafsi? Huo mradi ungefanywa na serikali vikao visivyoisha vingeanza,kukipana maposho kibao mara ohh semina kujifunza nchi waliofanya miposho kibao Kisha ohh study tour mradi tu mtu amalize ghorofa lake

Mleta mada fisadi mkubwa akitaka anawinda miposho tu

Sekta binafsi Siri ni biashara wanalinda ndio zinawapa kula ndio maana mifumo iliyojengwa na sekta binafsi sio rahisi kuchezea kama iliyojengwa na wafanyakazi wa ndani wa serikali
NMB Wana wafanyakazi wenye uzoefu wa kimataifa wa mifumo huwezi linganisha na Hao wa serikali

Pili mfumo ukiwa compromised wao waweza lipa fidia wakijenga wa serikali kukitokea shida mfanyakazi wa serikali aweza lipa fidia ya billions?
 
DNS ni protocol tcp port 53 ambayo kazi yake kuimapp IP Address na neno ambalo binadamu rahisi kulikumbuka,sababu IP Address ina contains long numbers ambazo binadamu hawezi kuzikumbuka. DNS ni server ambayo inakuwa kama file lenye list ya domains name and their corresponding mapped IP address.

Ambayo husaidia Web Applications ziwe rahisi,kukumbukwa mfano jamiiforum.com ukiiresolve unakuja kupata IP yake ambayo imekuwa mapped nayo kwenye DNS.(Hii ni basic knowledge ya IT yyt anatakiwa kuijua).

Hivi unajua maana ya kuwa host mfumo kuwa Registrar wa mfumo? Unaweza kuwa Registrar wa mfumo fulani na usihost huo mfumo.

Home Work.
Hivi kitu gani kina tambulisha huo mfumo Registrar wake fulani, ila umekuwa hosted na mtu mwengine.

Ukishindwa mtafuta hata Eli the Computer Guy ana video zake kibao Youtube maana Udemy kule na hela.

Narudia tena kama kitu hukijui kaa kimya huto pungukiwa kitu. Mimi kwenye baadhi ya forum za Uchumi na Historia hasa za matukio makubwa huwaga sipendi kuchangia sababu sina ufahamu mzuri kwenye hizo field.

So brother huna unacho kijua.
Bado unajisifu kwa ujuvi wa bolts and nuts
 
Wabongo tupunguze ujuaji, kwamba NMB ihujumu serikali!! wakati serikali inamiliki 40% ya benki hiyo?
Hawajui pia wajinga Hao Kuna issue ya Risk na fidia kukitokea shida kwenye mfumo

Akitengeneza mfanyakazi wa serikali ukaleta shida kukatokea mfano wizi nk mfanyakazi wa serikali aliyetengeneza huo mfumo utamdai fidia ? Kajaa kunguni na chawa Kila Kona Hana Hela ya fidia

Miradi mikubwa kama hiyo huangalia pia risk na fidia in case of anything haigawiwi kama condom zinavyogawiwa kuwa wape wafanyakazi wa serikali wafanye
 
Kifupi huo mradi wangepewa wafanyakazi wa serikali ngechukua miaka 30 kukamilika

Wafanyakazi wa serikali speed kwao ni kitu ambacho hakipo kwao Ingekuwa amri yangu ningeamuru Hadi serikali yote ibinafsishwe wako goigoi mambo kibao

Mtu aje hapa aseme ni ofisi Gani ya serikali Ina speed kwenye utendaji kazi ukilinganisha na sekta binafsi? Huo mradi ungefanywa na serikali vikao visivyoisha vingeanza,kukipana maposho kibao mara ohh semina kujifunza nchi waliofanya miposho kibao Kisha ohh study tour mradi tu mtu amalize ghorofa lake

Mleta mada fisadi mkubwa akitaka anawinda miposho tu

Sekta binafsi Siri ni biashara wanalinda ndio zinawapa kula ndio maana mifumo iliyojengwa na sekta binafsi sio rahisi kuchezea kama iliyojengwa na wafanyakazi wa ndani wa serikali
NMB Wana wafanyakazi wenye uzoefu wa kimataifa wa mifumo huwezi linganisha na Hao wa serikali
Duniani kote kuna vita za aina tatu.

1.Hizi za mitutu.
2.Za kiuchumi.
3.Cyber War.

Kwa dunia ya sasa ukitaka kushinda vita ya kwanza na ya pili, basi hii ya tatu uwe vizuri. Sababu ukiwa vizuri kwenye Cyber War ni rahisi kupata taarifa za adui yako na siku hizi Serikali zote duniani IT ndio inaendesha shughuli zao.

Duniani kote hamna Serikali inayo hifadhi mifumo yake yenye taarifa na critical data kwa mtu wasiye mjua,mazingira wasiyo yajua,mtu wasiye mfanyia vetting na vetting kwa watu wanao develop na kuihifahi hii mifumo huwa endelevu mara kwa mara, ili kujirizisha.

Huwezi linganisha siri za Serikali na taasisi binafsi, kwani serikali inabeba maslahi ya taifa lote ila taasisi binafsi ni wao kama wao. Ndio maana kuna baadhi ya serikali ukivujisha siri wapo tayari hata kuua ili taifa libaki salama.

Mimi kuna taasisi naijui private na taasisi kubwa sana 2019 na walipgwa na Ramsomware, walilipa hela ndefu na kuizima hii issues kimya kimya?

Au ushajiuliza kwa nini Cyber attack kwenye hizi taasisi za kifedha hazilipotiwi? na wanapigwa mara nyingi ila huwezi sikia ila sisi huku tunajua.
 
DNS ni protocol tcp port 53 ambayo kazi yake kuimapp IP Address na neno ambalo binadamu rahisi kulikumbuka,sababu IP Address ina contains long numbers ambazo binadamu hawezi kuzikumbuka. DNS ni server ambayo inakuwa kama file lenye list ya domains name and their corresponding mapped IP address.

Ambayo husaidia Web Applications ziwe rahisi,kukumbukwa mfano jamiiforum.com ukiiresolve unakuja kupata IP yake ambayo imekuwa mapped nayo kwenye DNS.(Hii ni basic knowledge ya IT yyt anatakiwa kuijua).

Hivi unajua maana ya kuwa host mfumo kuwa Registrar wa mfumo? Unaweza kuwa Registrar wa mfumo fulani na usihost huo mfumo.

Home Work.
Hivi kitu gani kina tambulisha huo mfumo Registrar wake fulani, ila umekuwa hosted na mtu mwengine.

Ukishindwa mtafuta hata Eli the Computer Guy ana video zake kibao Youtube maana Udemy kule na hela.

Narudia tena kama kitu hukijui kaa kimya huto pungukiwa kitu. Mimi kwenye baadhi ya forum za Uchumi na Historia hasa za matukio makubwa huwaga sipendi kuchangia sababu sina ufahamu mzuri kwenye hizo field.

So brother huna unacho kijua.

1) hujaulizwa kuhusu DND protocol huenda umeenda copy paste sehem
2) ushatoa jibu tayar sasa uache ushamba: (DNS ni server ambayo inakuwa kama file lenye list ya domains name and their corresponding mapped IP address.)

3) huenda ata huelewi ivi vitu vinavoyfanya kazi so amna umuhimu wa kuanza kukueleza kitu ambacho hutakielewa
 
Back
Top Bottom