Huna unacho kijua.Nilikujibu based on his your level
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna unacho kijua.Nilikujibu based on his your level
Brother kaeni kimya vitu vingine ni kujipa aibu, Registrar sio creator wa mfumo
e-GA ni kichaka cha upigaji inatakiwa kufutwa.endeleeni kula 10% lakini mnaua nchi hii
Huwezi ukawa wewe tu ndio unanyamazisha watu, unakashifu watu simply by having a degree ya IT na kupata kaajira ka serikaliBrother kaeni kimya vitu vingine ni kujipa aibu, Registrar sio creator wa mfumo
Hapo Registar ni msajili wa hiyo domain katika DNS zake, ili hiyo domain ambayo inamfumo ipatikane hewani.
Wewe unaweza ukawa Registar domain za mifumo ya taasisi mbali mbali binafsi na serikali na ukawa sio mtengenezaji wa huo mfumo.
Vitu vingine kama hamvijui kaeni kimya mnajidhalilisha. Halafu DNS ni basic ya IT yoyote anatakiwa kuijua.
Yaani daaaaahhhhh,halafu unakomaa kabisa kwa kitu husicho kijua na hicho ulicho kifanya hackers wanakitumia wanapo kusanya taarifa kabla ya kuattack.
Sija mnyamazisha mtu ila nimemuelekeza kwani alicho kiongea hakijui.Huwezi ukawa wewe tu ndio unanyamazisha watu, unakashifu watu simply by having a degree ya IT na kupata kaajira ka serikali
There is more to technical skills than overall knowledge ya mifumo ya umma
Endelea kufoka-foka
Brother kaeni kimya vitu vingine ni kujipa aibu, Registrar sio creator wa mfumo
Hapo Registar ni msajili wa hiyo domain katika DNS zake, ili hiyo domain ambayo inamfumo ipatikane hewani.
Wewe unaweza ukawa Registar domain za mifumo ya taasisi mbali mbali binafsi na serikali na ukawa sio mtengenezaji wa huo mfumo.
Vitu vingine kama hamvijui kaeni kimya mnajidhalilisha. Halafu DNS ni basic ya IT yoyote anatakiwa kuijua.
Yaani daaaaahhhhh,halafu unakomaa kabisa kwa kitu husicho kijua na hicho ulicho kifanya hackers wanakitumia wanapo kusanya taarifa kabla ya kuattack.
website ya NECTA ni kama blog tu, sio web app useme kuna configuration zmekaa vibaya ila ukwel ni kwamba wako hosted EGA na sio necta tu, taasisi zote za serikali unazozijua wewe zko hosted pale, cha ajab mpaka leo matokeo ya darasa la saba yakitoka mtandao unakua chini,Sija mnyamazisha mtu ila nimemuelekeza kwani alicho kiongea hakijui.
Mimi siuzi chai kama wewe nipo kwenye field hii so mtu anapo potosha na mwelewesha.
una uhakika gan sjui? mm na wewe nan anaijua EGA kwa upana zaidi? ulishawahi kufanya project yoyote ambayo ni ua serikali? ama ndo umetoka chuo? ukiangalia apo juu nmekuonyesha emails ambazo ni za technial nkiwa naongea na EGA,Sija mnyamazisha mtu ila nimemuelekeza kwani alicho kiongea hakijui.
Mimi siuzi chai kama wewe nipo kwenye field hii so mtu anapo potosha na mwelewesha.
Sikujui ila ulicho kiandika kuhusu Registrar hukijui.DNS,DHCP,IP nk ni kama a,e,I,o,u kwenye IT kwa kutokujua kwako wewe ni mweupe.una uhakika gan sjui? mm na wewe nan anaijua EGA kwa upana zaidi? ulishawahi kufanya project yoyote ambayo ni ua serikali? ama ndo umetoka chuo? ukiangalia apo juu nmekuonyesha emails ambazo ni za technial nkiwa naongea na EGA,
kwa lugha nyepesi EGA ni ya kufuta
Hivi unajua tofauti katika ya Domain Registration, System Development na Domain Hosting.......... tuanzie hapo.website ya NECTA ni kama blog tu, sio web app useme kuna configuration zmekaa vibaya ila ukwel ni kwamba wako hosted EGA na sio necta tu, taasisi zote za serikali unazozijua wewe zko hosted pale, cha ajab mpaka leo matokeo ya darasa la saba yakitoka mtandao unakua chini,
yaaani kwa lugha nyepesi EGA ni ya kufuta
unajua maaana ya DNS SERVER?Sikujui ila ulicho kiandika kuhusu Registrar hukijui.DNS,DHCP,IP nk ni kama a,e,I,o,u kwenye IT kwa kutokujua kwako wewe ni mweupe.
Registrar sio mtengeza mifumo.
swali rahisi sana DNS SERVER ni nani kwenye online app?Hivi unajua tofauti katika ya Domain Registration, System Development na Domain Hosting.......... tuanzie hapo.
mbna unarudi kile kile nshakwambia mifumo yote ya serikali iko hosted EGA na necta ni blog, sasa kama necta ni blog na anehost ni EGA nani wa kushikwa masharti apa?Hivi unajua tofauti katika ya Domain Registration, System Development na Domain Hosting.......... tuanzie hapo.
swali rahisi sana DNS SERVER ni nani kwenye online app?
mbna unarudi kile kile nshakwambia mifumo yote ya serikali iko hosted EGA na necta ni blog, sasa kama necta ni blog na anehost ni EGA nani wa kushikwa masharti apa?
Kifupi huo mradi wangepewa wafanyakazi wa serikali ngechukua miaka 30 kukamilikaTaasisi yoyote nyeti huwezi kuingia bila TISS kujilizisha na kukufanyia vetting, vp kuna Bank binafsi ambayo inafanyiwa vetting na TISS,kama ipo nitajie.
Bado unajisifu kwa ujuvi wa bolts and nutsDNS ni protocol tcp port 53 ambayo kazi yake kuimapp IP Address na neno ambalo binadamu rahisi kulikumbuka,sababu IP Address ina contains long numbers ambazo binadamu hawezi kuzikumbuka. DNS ni server ambayo inakuwa kama file lenye list ya domains name and their corresponding mapped IP address.
Ambayo husaidia Web Applications ziwe rahisi,kukumbukwa mfano jamiiforum.com ukiiresolve unakuja kupata IP yake ambayo imekuwa mapped nayo kwenye DNS.(Hii ni basic knowledge ya IT yyt anatakiwa kuijua).
Hivi unajua maana ya kuwa host mfumo kuwa Registrar wa mfumo? Unaweza kuwa Registrar wa mfumo fulani na usihost huo mfumo.
Home Work.
Hivi kitu gani kina tambulisha huo mfumo Registrar wake fulani, ila umekuwa hosted na mtu mwengine.
Ukishindwa mtafuta hata Eli the Computer Guy ana video zake kibao Youtube maana Udemy kule na hela.
Narudia tena kama kitu hukijui kaa kimya huto pungukiwa kitu. Mimi kwenye baadhi ya forum za Uchumi na Historia hasa za matukio makubwa huwaga sipendi kuchangia sababu sina ufahamu mzuri kwenye hizo field.
So brother huna unacho kijua.
Hawajui pia wajinga Hao Kuna issue ya Risk na fidia kukitokea shida kwenye mfumoWabongo tupunguze ujuaji, kwamba NMB ihujumu serikali!! wakati serikali inamiliki 40% ya benki hiyo?
Duniani kote kuna vita za aina tatu.Kifupi huo mradi wangepewa wafanyakazi wa serikali ngechukua miaka 30 kukamilika
Wafanyakazi wa serikali speed kwao ni kitu ambacho hakipo kwao Ingekuwa amri yangu ningeamuru Hadi serikali yote ibinafsishwe wako goigoi mambo kibao
Mtu aje hapa aseme ni ofisi Gani ya serikali Ina speed kwenye utendaji kazi ukilinganisha na sekta binafsi? Huo mradi ungefanywa na serikali vikao visivyoisha vingeanza,kukipana maposho kibao mara ohh semina kujifunza nchi waliofanya miposho kibao Kisha ohh study tour mradi tu mtu amalize ghorofa lake
Mleta mada fisadi mkubwa akitaka anawinda miposho tu
Sekta binafsi Siri ni biashara wanalinda ndio zinawapa kula ndio maana mifumo iliyojengwa na sekta binafsi sio rahisi kuchezea kama iliyojengwa na wafanyakazi wa ndani wa serikali
NMB Wana wafanyakazi wenye uzoefu wa kimataifa wa mifumo huwezi linganisha na Hao wa serikali
Sijisifu si kaulizwa swali?Bado unajisifu kwa ujuvi wa bolts and nuts
DNS ni protocol tcp port 53 ambayo kazi yake kuimapp IP Address na neno ambalo binadamu rahisi kulikumbuka,sababu IP Address ina contains long numbers ambazo binadamu hawezi kuzikumbuka. DNS ni server ambayo inakuwa kama file lenye list ya domains name and their corresponding mapped IP address.