E-mail kutoka TaESA.

Rhoy

Member
Joined
Jan 14, 2025
Posts
9
Reaction score
3
Habari wapendwa.
Mimi nimejiunga na TaESA lakini sijafiki asilimia za kuomba reg no. Lakini nimekua ninapokea e-mail zao mfano zinakua zinasema “MAOMBI YA USAJILI WA MWAJILI KWENDA WIZARA YA KAZI YAMETUMWA KUTOKA TAA SONGEA” nashindwa kuelewa naomba mwenye kujua anielekeze nisije kua napishana na kazi😅
 
Na mm ni hivyo hivyo 😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20250207_221428_Gmail.jpg
    206.3 KB · Views: 4
😅😅aisee ivi maana yake ni nini na ivi sina kazi nipo nyumbani nachanganyikiwa nawaza au ndo kazi izi😅💔
 
Lakini sizani kama ni kazi izo nafikiri ni awa watu wa makampuni wanaosajiri kampuni zao huko TaESA
 
Hizo meseji zinakuja kwako kimakosa yaani mfumo umefoadi kwenye email yako nilienda kuulizia hata Mimi nilipata huo ujumbe
 
Anhaa nashkuru nikajua napishana na kazi😢
 
Mwaka huu taesa shida nini kuna jamaa alifanyq interview kapata 59.999% lkn hajaitwa je kafel au nafasi hakuna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…