E. Mbasha kwa nini hukujibidisha upate hela?

E. Mbasha kwa nini hukujibidisha upate hela?

Heheheheh kazoea kuzipata bila jashoooooooo na kukaa na atm card ya flora...shida yake nini
 
Washarudiana kwa mkataba bw Gwajima aendelee kulamba kisayansi.
 
emma unachofanya sasa ni utoto tena ni kombolela.jipange utafute hela zako vinginevyo unaweza kuamua maamuzi yasiyo na staha.
 
imefika mahali sasa huyu mbasha aombe hata mtaji afanye biashara zake, haya mambo kwamba mkeo ni mwimbaji na wewe ndio unajifunza usteji shoo ni aibu.

kiuhalisia inaonesha mali zote ni za mwanamke, maana ndiye mwenye kipaji cha uimbaji alafu jamaa kama naye ana katamaa ka wanawake nje huku akijua wazi analelewa na mkewe na babo anafumwa na kuanza kulia lia, hii ni aibu kubwa kwa wanaume.

Mwanaume anayejitegemea hawezi kulia hovyo kisa mwanamke anamwacha.

Well said....
 
Jamaa alingiza miguu yote akijua mkewe ni mlokole na suala kuachana au kuchapiwa halipo kwahiyo akawa anaendeleza usaanii wake kwenye 6x6 huku akitafuna kuku kiulaini.
 
Kwann kumuwazia mwenzako mawazo machafu kaa hayo haijakaa poa hata sir God hapend.
 
Sidhani kama kinachomfanya Emma alielie kwa Flora ni pesa au maisha, sifikiri hivyo kabisa, issue nadhani iko hapa, "ruksa kumuacha Flora but no marriage to another woman" Anajua akitaka kuoa tena basi asahau mambo ya ushirika pale kanisani kwake! Tutamlau Mbasha au hata Flora mwenyewe but issue ni maadili ya Kikristo ndio yanayomzuia kufanya tunacho mshauri akifanye. Tukisema kwamba hana pesa, kwani mahari kwa familia ya mzee Kulola (RIP) nani alimtolea? Emma ndiye aliyemleta Flora hapa mjini, alikua anaishije? Think loudly guys!
 
eee kazi ipoooo,ila sizani kama hata wakirudiana wataishi kama mwanzo itakuwa tu kaka na dada kila mtu na chumba chake
 
Pole kwa yaliyokukuta but cha kujiuliza pamoja na kuwa kwenye game zaid ya miaka 10 (kwa ufadhili wa Flora) iweje leo unalia lia tu kwenye media kuwa Flora kakuacha?

Kwani huna kisomo, nguvu na maarifa ya kukufanya upate hela na ujitegemee? Acha kulia lia na media eti umeporwa mke. La muhimu jipange uanze upya na ukipata pesa ama Flora au mwanamke yeyote atakuja mwenyewe (bila kutongoza) otherwise usipojibidisha na kufanya kazi unaweza kuandika historia mbaya (Cameron).

We mwanaume pambana.
Kwa sisi tunaotegemea wake zetu je? mbona unatutisha kiongozi?
 
Hahahaaaa hii ndo JF bwana, hivi unamwambia Mbasha au unatuambia sisi ili tumwambie?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
waachieni wenyewe kwani wameona fahari kujinadi mitandaoni kwa mambo ya ndoa yao
 
Ili kukabiliana na Gwajimalization,
Emma inabii aanzishe kanisa,misukule iko mingi na inatoa sadaka.
 
Huyu ndugu Mbasha mbona kama ana dalili zote za ki-CAMERON yaani ni mtu wa kukata mauno jukwaani, mzuri wa sura,asiyetaka tabu na ngozi laini anafaa kutiwwa bila shaka wahusika wameshamuona na watafanya booking

kwa akili zako hizi hakika rep power yako itaendelea kusomeka 0!
 
Sidhani kama kinachomfanya Emma alielie kwa Flora ni pesa au maisha, sifikiri hivyo kabisa, issue nadhani iko hapa, "ruksa kumuacha Flora but no marriage to another woman" Anajua akitaka kuoa tena basi asahau mambo ya ushirika pale kanisani kwake! Tutamlau Mbasha au hata Flora mwenyewe but issue ni maadili ya Kikristo ndio yanayomzuia kufanya tunacho mshauri akifanye. Tukisema kwamba hana pesa, kwani mahari kwa familia ya mzee Kulola (RIP) nani alimtolea? Emma ndiye aliyemleta Flora hapa mjini, alikua anaishije? Think loudly guys!
wala usihangaike ndugu yangu hawawote wanaojam bajamba humu ni wafuasi wa GWAJIMA! KWA sisi tunaomjua FROLA ENZI zile anazunguka na babu yake kulola kuimba hata MKOANI mbeya wataungana na mimi kwamba EMMA ndo kamleta mjini kumpeleka salon na BICHWA lake na sasa eti anawajua wenye PESA nakwambia haitapita miaka hata 5 atakuwa anauza mihogo Buguruni kwa MNYAMANI!!AWAKATI huo EMMA MUNGU atakuwa amemwinua!! haya tumeyaonakwa MACHO YAKIWATOKEA watu wa SAMPULI YA HUYO frola MLOKOLE feki!!!
 
imefika mahali sasa huyu mbasha aombe hata mtaji afanye biashara zake, haya mambo kwamba mkeo ni mwimbaji na wewe ndio unajifunza usteji shoo ni aibu.

kiuhalisia inaonesha mali zote ni za mwanamke, maana ndiye mwenye kipaji cha uimbaji alafu jamaa kama naye ana katamaa ka wanawake nje huku akijua wazi analelewa na mkewe na babo anafumwa na kuanza kulia lia, hii ni aibu kubwa kwa wanaume.

Mwanaume anayejitegemea hawezi kulia hovyo kisa mwanamke anamwacha.

nakukemea kwa jinala Mungu wangu akulegeze mifupa yote ya mwili!!!! una uhakika au unalopoka tu?
 
Back
Top Bottom