BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Heheheheh kazoea kuzipata bila jashoooooooo na kukaa na atm card ya flora...shida yake nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
imefika mahali sasa huyu mbasha aombe hata mtaji afanye biashara zake, haya mambo kwamba mkeo ni mwimbaji na wewe ndio unajifunza usteji shoo ni aibu.
kiuhalisia inaonesha mali zote ni za mwanamke, maana ndiye mwenye kipaji cha uimbaji alafu jamaa kama naye ana katamaa ka wanawake nje huku akijua wazi analelewa na mkewe na babo anafumwa na kuanza kulia lia, hii ni aibu kubwa kwa wanaume.
Mwanaume anayejitegemea hawezi kulia hovyo kisa mwanamke anamwacha.
Kwa sisi tunaotegemea wake zetu je? mbona unatutisha kiongozi?Pole kwa yaliyokukuta but cha kujiuliza pamoja na kuwa kwenye game zaid ya miaka 10 (kwa ufadhili wa Flora) iweje leo unalia lia tu kwenye media kuwa Flora kakuacha?
Kwani huna kisomo, nguvu na maarifa ya kukufanya upate hela na ujitegemee? Acha kulia lia na media eti umeporwa mke. La muhimu jipange uanze upya na ukipata pesa ama Flora au mwanamke yeyote atakuja mwenyewe (bila kutongoza) otherwise usipojibidisha na kufanya kazi unaweza kuandika historia mbaya (Cameron).
We mwanaume pambana.
ati ukila nyama ya mtu utaendelea tu.....Washarudiana kwa mkataba bw Gwajima aendelee kulamba kisayansi.
Huyu ndugu Mbasha mbona kama ana dalili zote za ki-CAMERON yaani ni mtu wa kukata mauno jukwaani, mzuri wa sura,asiyetaka tabu na ngozi laini anafaa kutiwwa bila shaka wahusika wameshamuona na watafanya booking
wala usihangaike ndugu yangu hawawote wanaojam bajamba humu ni wafuasi wa GWAJIMA! KWA sisi tunaomjua FROLA ENZI zile anazunguka na babu yake kulola kuimba hata MKOANI mbeya wataungana na mimi kwamba EMMA ndo kamleta mjini kumpeleka salon na BICHWA lake na sasa eti anawajua wenye PESA nakwambia haitapita miaka hata 5 atakuwa anauza mihogo Buguruni kwa MNYAMANI!!AWAKATI huo EMMA MUNGU atakuwa amemwinua!! haya tumeyaonakwa MACHO YAKIWATOKEA watu wa SAMPULI YA HUYO frola MLOKOLE feki!!!Sidhani kama kinachomfanya Emma alielie kwa Flora ni pesa au maisha, sifikiri hivyo kabisa, issue nadhani iko hapa, "ruksa kumuacha Flora but no marriage to another woman" Anajua akitaka kuoa tena basi asahau mambo ya ushirika pale kanisani kwake! Tutamlau Mbasha au hata Flora mwenyewe but issue ni maadili ya Kikristo ndio yanayomzuia kufanya tunacho mshauri akifanye. Tukisema kwamba hana pesa, kwani mahari kwa familia ya mzee Kulola (RIP) nani alimtolea? Emma ndiye aliyemleta Flora hapa mjini, alikua anaishije? Think loudly guys!
imefika mahali sasa huyu mbasha aombe hata mtaji afanye biashara zake, haya mambo kwamba mkeo ni mwimbaji na wewe ndio unajifunza usteji shoo ni aibu.
kiuhalisia inaonesha mali zote ni za mwanamke, maana ndiye mwenye kipaji cha uimbaji alafu jamaa kama naye ana katamaa ka wanawake nje huku akijua wazi analelewa na mkewe na babo anafumwa na kuanza kulia lia, hii ni aibu kubwa kwa wanaume.
Mwanaume anayejitegemea hawezi kulia hovyo kisa mwanamke anamwacha.