E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

Du we utakuwa mgeni sana wa haya mambo,unaachwa unalia?unasononeka,
Kuacha na kuachana,ni vitu vya kawaida,wewe huwezi kuwa wa kwanza,au wa mwisho,kuumia ni natural,lakini baada ya muda kupita,unasahau,kama miaka inapita,bado maumivu yapo tu!!,tafuta msaada wa kisaikolojia,
 
Jamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?
Me nlitahiriwa nkiwa mkubwa
Tena najitambua kabsa nlikua
Nagregeda sana waschana wa


Watu maana nlitahiriwa
Nkiwa nmemaliza standard 7
Sasa kasheshe likidinda mhhh
Acha tu
 
Moyo kupenda ndo shda
 
Kweli tupu..................acha kabisa hiyo kitu ufikirie jamaa mwingine anaitafuna! "Inaniuma sana nikifikiria huwanga ninalia".... Nature vs Sinta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…