E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

Ukweli utabaki kuwa ukweli, wanaume akiachwa na mwanamke anaumia sana na adhari nikubwa comparing to wanawake bad thing ni wachache sana wanakubaligi kuwa hawako ok wengi wanaajitapaga am ok, am ok, I got new chick better than her bla bla...money is nothing kwenye hili nyie mnaojidai I got cash cjui na nini mifano iko kibao uku mitaani ila kwakuwa nyie ni celebrities angalieni the current mfano wa the late IVAN,NDIKUMANA

Ushauri wa bure yakikukuta usijifungue ndani na usipretend ur ok nakujichekesha kwa watu while unakufa taratibu speak it loud upate msaada wa kurelease iyo pain otherwise utasema umelogwa Chriss Mauki saidia vijana wako
Du we utakuwa mgeni sana wa haya mambo,unaachwa unalia?unasononeka,
Kuacha na kuachana,ni vitu vya kawaida,wewe huwezi kuwa wa kwanza,au wa mwisho,kuumia ni natural,lakini baada ya muda kupita,unasahau,kama miaka inapita,bado maumivu yapo tu!!,tafuta msaada wa kisaikolojia,
 
Huyu alisha pona?? Huyu nae aliachwa akawa anapost vitu visivyo eleweka huko tweter

DND12.PNG
Ndo nan huyo
 
Jamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?
Me nlitahiriwa nkiwa mkubwa
Tena najitambua kabsa nlikua
Nagregeda sana waschana wa


Watu maana nlitahiriwa
Nkiwa nmemaliza standard 7
Sasa kasheshe likidinda mhhh
Acha tu
 
ni kweli..halafu kwani mtu akikuacha ndo mwisho wa dunia?
jifunze kumove on na kujiweka busy na life yako..utampata alie sahihi na utafurahia mahusiano tena.

we unaweweseka wee mwisho mnapata maradh ya moyo halafu unakufa ghafla ukiwa na afya yako njema.
Moyo kupenda ndo shda
 
Kweli tupu..................acha kabisa hiyo kitu ufikirie jamaa mwingine anaitafuna! "Inaniuma sana nikifikiria huwanga ninalia".... Nature vs Sinta
 
Back
Top Bottom