monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Who is this nigger?Huyu alisha pona?? Huyu nae aliachwa akawa anapost vitu visivyo eleweka huko tweter
You are still growing up!Kupoteza pesa au mzazi/ ndugu wa karibu ndio kitu pekee kinachoumiza...sio mapenzi.
Hapana,wapo wanaofanyiwa wakiwa wakubwa kabisa na wengine WABABAJamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?
Sio kiwahili ni KISWAHILINimelike post yako ila unaharibu kiswahili.
Inawezekana lahaja ya kwenu imezidi unga. kiwahili hakina 1. wanakubaligi-- instead HUWA WANAKUBALI. 2. wanajitapaga= huwa wanajitapa
Hii ni shida ya kua na mwanamke mmoja kama mama yakoAiseee hiii n kweli inauma kuachwa
Na mwanamke kudadek yan
Haya maumivu hata ya kutairiwa
Hayafui dafu kwenye kuachwa
kula[emoji109] mkuu...Naona Maumivu yake anayaka kuhamishia kwa wengine.Mleta mada sikubishii ila najaribu kueleza ninachojua, Ukisema wanaume ndio wanaumia sana si sahihi sana, kuumia haiangalii jinsia, inaangalia brain ya mtu...
By the way, mapenzi ni emotional, emotional zaidi kuliko logical, kwa hiyo kinachodrive mapenzi ni emotions, sio logic...... Hapa sasa, ukitaka kujua ni nani anaumia zaidi katika mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke( namaanisha kwa asilimia kubwa), unatakiwa kujua ni nani yuko emotional zaidi kati ya mwanaume na mwanamke.
Tumuombee Msamaha GodzillaWho is this nigger?
Nliachwa na mke wangu miaka 15 ishapita lakin bado nadunda bila hata kuwaona hao psychologists na namuona nasafa na mitaaUkweli utabaki kuwa ukweli, wanaume akiachwa na mwanamke anaumia sana na adhari nikubwa comparing to wanawake bad thing ni wachache sana wanakubaligi kuwa hawako ok wengi wanaajitapaga am ok, am ok, I got new chick better than her bla bla...money is nothing kwenye hili nyie mnaojidai I got cash cjui na nini mifano iko kibao uku mitaani ila kwakuwa nyie ni celebrities angalieni the current mfano wa the late IVAN,NDIKUMANA
Ushauri wa bure yakikukuta usijifungue ndani na usipretend ur ok nakujichekesha kwa watu while unakufa taratibu speak it loud upate msaada wa kurelease iyo pain otherwise utasema umelogwa Chriss Mauki saidia vijana wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna manzi alinipiga kibuti hadi nikazimia
Kuacha sehemu ambazo kuathiri Ni mila, wengi jitahidi kwa jitihada zao wenyewe hasa wakiwa shuleni.Jamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?
Miaka hii ndo wanatahiri vichanga sio enzi zetu tena kavukavu hiyoJamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?