E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

Huyu alisha pona?? Huyu nae aliachwa akawa anapost vitu visivyo eleweka huko tweter

DND12.PNG
Who is this nigger?
 
Jamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?
Hapana,wapo wanaofanyiwa wakiwa wakubwa kabisa na wengine WABABA
 
Nimelike post yako ila unaharibu kiswahili.
Inawezekana lahaja ya kwenu imezidi unga. kiwahili hakina 1. wanakubaligi-- instead HUWA WANAKUBALI. 2. wanajitapaga= huwa wanajitapa
Sio kiwahili ni KISWAHILI
 
Mleta mada sikubishii ila najaribu kueleza ninachojua, Ukisema wanaume ndio wanaumia sana si sahihi sana, kuumia haiangalii jinsia, inaangalia brain ya mtu...

By the way, mapenzi ni emotional, emotional zaidi kuliko logical, kwa hiyo kinachodrive mapenzi ni emotions, sio logic...... Hapa sasa, ukitaka kujua ni nani anaumia zaidi katika mapenzi kati ya mwanaume na mwanamke( namaanisha kwa asilimia kubwa), unatakiwa kujua ni nani yuko emotional zaidi kati ya mwanaume na mwanamke.
kula[emoji109] mkuu...Naona Maumivu yake anayaka kuhamishia kwa wengine.
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli, wanaume akiachwa na mwanamke anaumia sana na adhari nikubwa comparing to wanawake bad thing ni wachache sana wanakubaligi kuwa hawako ok wengi wanaajitapaga am ok, am ok, I got new chick better than her bla bla...money is nothing kwenye hili nyie mnaojidai I got cash cjui na nini mifano iko kibao uku mitaani ila kwakuwa nyie ni celebrities angalieni the current mfano wa the late IVAN,NDIKUMANA

Ushauri wa bure yakikukuta usijifungue ndani na usipretend ur ok nakujichekesha kwa watu while unakufa taratibu speak it loud upate msaada wa kurelease iyo pain otherwise utasema umelogwa Chriss Mauki saidia vijana wako
Nliachwa na mke wangu miaka 15 ishapita lakin bado nadunda bila hata kuwaona hao psychologists na namuona nasafa na mitaa
 
Fine,mtazamo wako tu....lkn kwa mm kuwa maskini ktk kizazi hiki ni maumivu makubwa sana kushinda yale ya kuachwa kwa sababu kupata mwanamke ktk kizazi hiki ni rahisi mara mia zaidi kuliko kuipata elfu kumi ..
 
wanaume wengi wa siku hizi wanajilegeza kama nini, unakuta mtu analia kisa eti kaachwa! nimedate wanawake wanajaa almost bahewa 3 za Treni ya kwenda bara na hawo wote tuliachana. je ningekuwa cry baby ingekuwaje? wazazi nao wa siku hizi hawawafundishi watoto wao wakiume jinsi ya kuwa Ngangari na kuhimili mikikimikiki ya Mahusiano.
 
Le Mutuz hamjamtaja nae ameathirika kisaikolojia aliachwa majuu huko hana hamu mpaka leo yko ni chiz kabisa ...
..Humbled U know
 
Jamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?
Kuacha sehemu ambazo kuathiri Ni mila, wengi jitahidi kwa jitihada zao wenyewe hasa wakiwa shuleni.
 
Kuachwa kwa kweli kunauma sana hasa kwa wale ambao shuleni alikuwa busy kusomaaa tu. Km walau ulibambia kuanzia std iv-vii, secondari na chuo, akamwagana na mademu wote Hao, leo hii Mpenzi akisepa unarejea demu mkali aliyekupiga chini kitambo, unajiliwaza, unapotezea,
Tatizo kwa mke/mume Ni kwamba kuoana na kuishi pamoja ni zaidi ya ngono, yale mazoea huleta shida sana ikitokea mnashindwana. Dawa Ni kuwa na kamchepuko kakuliwaze.
 
Jamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?
Miaka hii ndo wanatahiri vichanga sio enzi zetu tena kavukavu hiyo
 
Back
Top Bottom