E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

E mbasha, Ruge, Barnaba, Idris, Nuhu Mziwanda, mnahitaji kumuona psychologist acheni ukijifanya mko ok

Aiseee hiii n kweli inauma kuachwa
Na mwanamke kudadek yan
Haya maumivu hata ya kutairiwa
Hayafui dafu kwenye kuachwa
kutahiriwa kuna maumivu yoyote?? maana kwetu hatutumii ganzi na hakuna kulia ukilia unakosa mke
 
Jamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?
Mimi nimekatwa nikiwa grade sex, asikwambie mtu aisei..! Ila nashukru waliniepusha na kibamia..[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli, wanaume akiachwa na mwanamke anaumia sana na adhari nikubwa comparing to wanawake bad thing ni wachache sana wanakubaligi kuwa hawako ok wengi wanaajitapaga am ok, am ok, I got new chick better than her bla bla...money is nothing kwenye hili nyie mnaojidai I got cash cjui na nini mifano iko kibao uku mitaani ila kwakuwa nyie ni celebrities angalieni the current mfano wa the late IVAN,NDIKUMANA

Ushauri wa bure yakikukuta usijifungue ndani na usipretend ur ok nakujichekesha kwa watu while unakufa taratibu speak it loud upate msaada wa kurelease iyo pain otherwise utasema umelogwa Chriss Mauki saidia vijana wako

Uko sahihi kabisa kuongea kunasaidia sana kupunguza maumivu,maumivu ya Mapenzi ni makali mno,ukikaa kimya unateketea huku wajiona ilhali mwenzio anafurahia maisha!
 
Hahahaaaaa!, mkuu, mimi binafsi nachukulia kama ni tukio muhimu sasa kwenye maisha yangu, hadi leo nakumbuka ilikuwaje, nilikuwa naumia ikidinda kipindi sijapona na mambo kama hayo, kumnyima mtu kumbukumbu hizo kwa kumtahiri akiwa mdogo sana, ni kumuonea.
Kwanza unamsababishia kibamia..!
 
Kweli tupu..................acha kabisa hiyo kitu ufikirie jamaa mwingine anaitafuna! "Inaniuma sana nikifikiria huwanga ninalia".... Nature vs Sinta

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani kutahiriwa si huwa inafanyika mkiwa wachanga sana jamani?Huwa bado mna hiyo kumbukumbu ya maumivu yake?Au wewe ulitahiriwa ukiwa mkubwa unajitambua?
Nilitahiriwa nikiwa mdogo sana tena kwa ganzi,lakn ilipoisha nguv maumiv yake hayaelezeki kwa maandishi wala kwa maneno!
 
Back
Top Bottom