E.P.L inazidi kuabika


Takwimu gani mkuu, Man city ya mwaka huu ni Man city bora zaidi kuwahi kutokea hiko ndio kigezo changu.

Liverpool na Man city ni kama mbingu na ardhi japokuwa zinatokea ligi moja
 
Takwimu gani mkuu, Man city ya mwaka huu ni Man city bora zaidi kuwahi kutokea hiko ndio kigezo changu.

Liverpool na Man city ni kama mbingu na ardhi japokuwa zinatokea ligi moja

Liverpool kafungwa mechi ngapi ? Na man city kapoteza mechi ngapi?

Liverpool ana goli ngapi na man city anagoli ngapi nazungumzia uefa mkuu.

Takwimu zingine zilete wewe za city kumzidi Liverpool kwenye ligi ya uefa.angalia performance ya timu kwenye ligi ya uefa na sio ligi aliyotoka,kama ndio hivyo Liverpool asingechukua uefa 2005,maana alikuwa namba4.

Epl city anaonekana kashindikana lakini uefa anadungwa na basel tena nyumbani.

Usichanganye epl na uefa mkuu.
 
amepigwa na basel akiwa ameshafuzu hana cha kupoteza, alishamaliza kazi ugenini wakaanza watu ambao sio regular starters..

liverpool kipimo chenu ni kukutana na A list teams sio mliokutana nao, ngoja tuone mtapangiwa watu gani
 
HAHAAAA HIYO AYA YA MWISHO IMENIKOSHA MNOOO
KWELI UMEWAAGA NA WASIYE MPENDA MKUU
 
Kiufupi, linapokuja suala la UCL, timu za EPL wanakuwa ni SPECIALISTS IN FAILURE. Hata kipindi wakiwa vizuri, bado hawakuchukua kombe mfululizo kama alivyosema mleta mada. Kwa ufupi katika historia.
Fainali za UCL
2005 - Liverpool(bingwa) vs Ac Milan
2006 - Barcelona(bingwa) vs Arsenal
2007 - Ac Milan(bingwa) vs Liverpool
2008 - Manchester United(bingwa) vs Chelsea
2009 - Barcelona(bingwa) vs Manchester United
2011 - Barcelona(bingwa) vs Manchester United
2012 - Chelsea(bingwa) vs Bayern Munchen
Katika miaka saba waliyoingia fainali kuanzia mwaka 2005-2017, waliishia kubeba mara tatu tu, mara nne walipoteza.
 
Kwani msimu wa 2015/16, bingwa si alikuwa Real Madrid? Alichukuaje ubingwa kama aliondoshwa mashindanoni na Juventus?
 
Wewe hufuatilii mpira. Ligi ngumu Duniani ni ligi ya Brazil. Kule hakunaga timu kubwa ya kudumu.
 
Yaani mnachokiongelea ni sawa na timu za yanga na simba zinavyopewa promo na magazeti yetu huku zikibeba sifa ya kupambana na timu zaifu na maskini kama Njombe mji....ila wakitoka tu nje ya bongo si lolote si chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…