el nino
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,712
- 5,058
- Thread starter
- #21
Umetumia kigezo gani kusema man city ndio yenye matumaini?,maana kwenye takwimu Liverpool uefa ndio bora kuliko man city .halafu swala la kuingiza timu timu nyingi hatua hiyo si hoja,subiri timu za spain wachukue kombe ndio upige kelele,nimekuzarau na nimekuona ujui mpira eti labda upinzani kidogo unaweza kutoka kwa bayen,umesahau huyo coacher wa bayen ndio ndio aliwafunga barcelona jumla ya goli 7-1 home/away Baada ya hapo alienda kuchukua kombe la uefa,Baada ya hapo tena akaachakufundisha soka 2013//2014,sasa katikati ya msimu huu bayen wamemuomba aruditena kuifundisha timu kwa muda mpaka pale watakapo pata kocha ,baada ya kuchukua timu huyo kocha hivyo vipigo alivyovitoa ni vya ujazo.
Takwimu gani mkuu, Man city ya mwaka huu ni Man city bora zaidi kuwahi kutokea hiko ndio kigezo changu.
Liverpool na Man city ni kama mbingu na ardhi japokuwa zinatokea ligi moja