EA Sports vs Konami Video Games

EA Sports vs Konami Video Games

ka unanshawishi vile mkuu nitaijaribu!ila kuna hii ya assassin creeds natamani sana nije kuicheza!

Wewe cheza tu pakikushinda mahali niambie nakuelekeza tu

Game ni ndefu ila anazunguka tu
pale mwanzo kabisa ya ya pili anapigana na lile dubwasha kubwa la chuma kisha ataliua ila mkono unamuangukia anaishiwa nguvu halafu cretus (kama sijakosea jina) Yule anayeshuka kama ndege (bird) anamuua halafu atafufuliwa ila kiuhalisia anatakiwa akiwahi kivuli chake kisiuliwe hivyo anafika pale anaungana na kivuli chake anaanza kupigana na baba yake ila mkewe ataingilia kati ile anataka kumchoma panga mkewe anajichomeka yeye dingi anasepa part two inaishia hapo ila huko njiani mpaka umkute ni shida
 
Duh! mkuu uko vzur asa mm nataka nipate maujuzi kutoka kwenu hususan cheat yaani
 
niko na dogo mmoja hapa tunacheza FIFA14 aisee dogo anajua mpaka raha yaan
 
mi naona KOnami walikuwa pioneers zaidi tangu enzi zile za Nintendo pads
ila Ea wamekuja advanced graphically.habari ya uhalisia
ni ngumuu sana wadau mkumbuke hizi game sio 3D animation movies..
But Kudos to all of them..at least walifanya maisha yawe na fun zaidi kwa watu tusiokuwa
outdoor sports oriented..

mkuu unaipat ile FIFA 2002 ile nimecheza mpaka kero yaani ila kweli EA wako njema
 
mkuu unaipat ile FIFA 2002 ile nimecheza mpaka kero yaani ila kweli EA wako njema

Naam mkuu nimecheza ile na nilikuwa na lidesk top Pentium 2 kaangu alilinua akiwa chuo
ww acha tu...
yaani game ilikuwa slow na haiishi kustuck..
Ila poa ilikuwa funful pia...
 
Back
Top Bottom