EA Sports vs Konami Video Games

EA Sports vs Konami Video Games

hongera Sana mkuu me binafsi game ikiwa ngumu upande wangu Naanza kuichukia Ikiwemo IGI 2

Ukiona game imekuwa ngumu kwako na umeshindwa kutafuta ufumbuzi ujue we kilaza😜😜😜😜ni mawazo tu!!!!
 
Mkuu IGI ipi, One au Two? Kama ni 1 mimi nimecheza mpaka nimemaliza Mission zote.

Katika game niliyoicheza na kuinjoy ni PROJECT IGI "i'm going in"
Na Supermario enzi za PC bila ya mouse haha.
 
Hivi kuna mwenye cheat za god of war maana dah! Mpaka kichwa kinauma msaada waajameni. Si unajua tena wacheza FIFA huku tunapata tabu kidogo
 
Wakuu mwenye GTA ya PC, tofauti na San andrea, vice city, na GTA maana tayari nishazimaliza hizo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Napenda magame ya mission sema cjui nitayatoa wapi!
 
Mwenye gta v au fifa 15 tubadilishane na max payne 3
 
ps games ni nzuri san cause zina refresh ur mind but football game is best,by konami .:blabla::llama::A S 109:
 
wakuu naomba mnisaidie link yakudownload PES 2015
 
Back
Top Bottom