EABC Secretariet: mizigo ya bandari ya Tanzania imeongezeka kwa 35% mwaka 2017

EABC Secretariet: mizigo ya bandari ya Tanzania imeongezeka kwa 35% mwaka 2017

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Tanzania: Kuondolewa kwa VAT kumechangia Transit Cargo kukua kwa 35% juu, VAT kuondolewa katika mizigo iliyopo safarini (ya nchi jirani) imeongeza ongezeko la idadi ya mizigo ya kushughulikiwa bandarini kwa 35.5%, mwaka jana. Serikali katika bajeti ya 2016/17 iliondoa VAT kwenye bidhaa zinazoelekea nchi jirani.

My take.

Bado
  • Uganda Tanzania crude oil pipeline
  • Dar port expansion
  • Mtwara port expansion
  • Tanga port expansion
  • Bagamoyo port construction
  • SGR for Uganda, Rwanda, Burundi, Congo construction
 
Watakuja hapa waojua pumba tu watakuponda we subiri..
 
bravo Tanzania. this is a very great success achieved.
 
Tanzania: Kuondolewa kwa VAT kumechangia Transit Cargo kukua kwa 35% juu, VAT kuondolewa katika mizigo iliyopo safarini (ya nchi jirani) imeongeza ongezeko la idadi ya mizigo ya kushughulikiwa bandarini kwa 35.5%, mwaka jana. Serikali katika bajeti ya 2016/17 iliondoa VAT kwenye bidhaa zinazoelekea nchi jirani.

My take.

Bado
  • Uganda Tanzania crude oil pipeline
  • Dar port expansion
  • Mtwara port expansion
  • Tanga port expansion
  • Bagamoyo port construction
  • SGR for Uganda, Rwanda, Burundi, Congo construction

97% of Ugandas cargo pass through port of Mombasa 😀
 
Tumeshaanza kugawana mbao, tukutane nchi kavu.
 
Back
Top Bottom