REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Tanzania: Kuondolewa kwa VAT kumechangia Transit Cargo kukua kwa 35% juu, VAT kuondolewa katika mizigo iliyopo safarini (ya nchi jirani) imeongeza ongezeko la idadi ya mizigo ya kushughulikiwa bandarini kwa 35.5%, mwaka jana. Serikali katika bajeti ya 2016/17 iliondoa VAT kwenye bidhaa zinazoelekea nchi jirani.
My take.
Bado
My take.
Bado
- Uganda Tanzania crude oil pipeline
- Dar port expansion
- Mtwara port expansion
- Tanga port expansion
- Bagamoyo port construction
- SGR for Uganda, Rwanda, Burundi, Congo construction