jiwekuu770
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 2,246
- 1,645
Jumuiya ya Afrika Mashariki hauhusiki kutatua mgogoro wa nchi viongoz wanao ng’ang’ania madaraka?
Hapa tunazo kama Uganda, Rwanda na Burundi.
Hapa tunazo kama Uganda, Rwanda na Burundi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nchi na KATIBA yake, SOVEREIGNTY.
Wote ndio hao hao. Tz tumeokolewa na Mungu tu, ilikuwa tunaelekea huko huko jinsi tulivyo wajinga.Lakini ina athiri jumuiya
Itatua kwa kuwaongezea muda wa miaka 99.
‘Atake asitakeeeeeeeeeeeeee’.
Jumuiya ya Afrika Mashariki hauhusiki kutatua mgogoro wa nchi viongoz wanao ng’ang’ania madaraka?
Hapa tunazo kama Uganda, Rwanda na Burundi.
Kuna binadamu vinga'nga'nizi sana...