Raila anakubalika saana Tanzania kuliko nchi yoyote EA. lazima watafte namna ya kumtenganisha na waTZ, wakati huohuo anamyima usingizi uhuru. Na huku CoW ina wasiwasi na JK (Tanzania) wamekuja na plan B ya kutuchafua na rais wetu. Bahati mbaya tuko vizuri kwa conspiracy za hivi. COW is not going any were