EAC leaders plotting to kill Raila Odinga — Oburu Oginga

EAC leaders plotting to kill Raila Odinga — Oburu Oginga

Title ya thread(sijui ni gazeti),habari yenyewe na maoni ya mnaochangia havina mawasiliano yaani haviendani kabisa.
 
if this is the EAC we've been yearning for then its better we live without it. Push will turn to shove after the assasination then everybody is gonna loose,i side with the Tzns to keep off this monster if at all this is true.

Tz is very much interested in the monster you are recording, the big problem is the incompatibility, the mismatch of the brains who sit in Arusha. We have sects of agreements. This one with that, that one with me, etc. but the grouping are for ills.
 
kilaza hujagua vilaza wenzake kumusaidia maana wenye akili huwaona wajuaji sana, so ushishangae ikulu kujaa vilaza
 
Hii ni another deviation tactic kutoka kwenye mijadala ya moto sasa hivi ya akina HANGA. Kwa nini JK amuue Raila?

Inaweza ikawa ni kwa ujinga wake tu. Kwani kuna muuaji mwenye sababu?

Hata hivyo hiyo inayoitwa ikulu inajishebedua kama mtaani tunavyosema. Oginga au odinga senior hakumtaja Kikwete na taarifa hiyo iko ktn youtube. Wao wanatoa wapi huo uchafu. Au wanakurupuka baada ya kupondwa jiwe?
 
Mbna msemaji wa Ikulu yule sijui mwambene naye amelikoroga kufafanua???
Eti anasema....kikwete ndiye aliotoboa huo mpango kwa kumjulisha Watangula
 
Huyo jamaa mpuuzi kwelikweli. anaongea ushabiki. Ka rwanda kenyewe hakalingani hata na mkoa wa Tabora. Kamejengwa kwa tabaka za kikabila.

Belgium ni ndogo kuliko Tabora lakini uchumi wake haukamatiki.

Size is irrelevant.
 
watu mnacomment sivyo ndivyo inaonekana Kiinglishi kinawasumbua wengi humu JF pole kwenu wote
 
Hizi chokochoko si ajabu zinatoka kwa huyu mwendawazimu kagame. Siku tukiamua kumshushia msala ndo atajua sisi ni wa Bongo kweli kweli.
Tumemhurumia hapa watu wake walikuwa wanachinjana kama kuku sasa anaona keshafika. Kama ni fitna tutamfanyia fitna kweli mpaka ikulu yake.

Jibu hoja kama unaweza. Halahala usimzushie Kagame ambaye hakutajwa bayana!
 
Nampongeza msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya. Mwambene amesema huo ni uzushi na mara nyingi Tanzania ndiyo nchi inayochokozwa.

Mpongeze lakini khoja ya msingi haijajibiwa. JK ana ubia gani na Wetangula hata wakutane Ikulu ndogo ya Arusha.

Ikumbukwe Wetangula siyo waziri ktk serikali ya Kenya sasa iweje kwa usiri akutane na Jk kama siyo ushambenga. Protokali zilikiukwa kabisa.
 
Mkuu Yericko sijasoma tamko hilo la Ikulu lakini nimesoma yaliyoandikwa Kenya. Inaonyesha kama kuna kitu kinafanyika ili kuonyesha kuwa Kikwete aliongea na Watengula kama kuchomekea hivi ili kuharibu image ya maraisi Kenyatta,Kagame na Museveni na kuwachafua. Kama ni hilo walipaswa kujibu ili kuweka mambo sawa.
Anyway ngoja nilitafute hilo tamko la Mwambene nilinganishe na hayo ya Kenya nijirizishe zaidi. Ila naanza kuona huu uhasama wa viongozi wa East Africa uko zaidi ya tuujuavyo.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wakuu hili jambo ni zito sana but hapa kunauchochezi kabisa Rais wetu hana muda wa kupoteza kufanya ishu kama hizo hizi ndo chokochoko za maadui wa tanzania kutaka kutufitinisha na majirani zetu kisa tu wametuona tuna gesi roho zinawahuma kweli....East Africa unit 4ever..!!

Kumbuka jk alilalamika bungeni kuwa ametengwa na wenzie kwahiyo ana dongo nao. Motisha ya kuwachafua ipo.
 
Sijui kwa nini Kikwete watu wote walio kwenye inner circle yake ni wajinga. Hii plain english huwezi kutafsiri.
 
Nimesikitishwa na tamko la msenaji wa serikali ndugu Asah Mwambene,

Sikitiko langu ni kutokana na Msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha kilichoitwa "uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya"

Nashangaa watu wanavyopotosha habari hii na nahisi hata Mwambene naye kapotoshwa/kapotoka na hakujishughulisha kuifuatilia habari yenyewe na akatoa tamko lenye kupotosha. Kilichoandikwa na Daily Post ni kwamba kuna marais walio conspire kufanya hicho kitu na taarifa zikamfikia Kikwete, naye akakitoa kwa Wetangula ili "kuvuruga mpango huo"

Kwa lugha nyingine nikuwa Kikwete ameokoa mausji hayo.

Hatua hii ya serikali kukurupuka na kukanusha tu tena kwakupotosha zaidi ni udhalilishaji kwa taifa la waswahili.

Sijui tatizo ni lugha au makusudi?

Hebu isomeni kwa umakini taarifa ya mtandao huo wa Kenya.

DAILY POST: REVEALED: WETANGULA/ KIKWETE behind RAILA ODINGA's assassination claims.
Wewe mwenyewe kiswahili hujui.
 
Sitashangaa...

kabla ya kushangaa, je unafahamu kenya daily post ni gazeti la udaku kama magazeti ya shigongo hapa kwetu?

kama kuna kiongozi wa serikali amelijibu gazeti hili basi ametuahibisha na ile report ya low iq inapata nguvu.
 
Back
Top Bottom