kama rwanda itatumia mbinu za belgium kukuza uchumi wake basi itakuwa mbali sana kiuchumi.
Tatizo ni je, hyo inawezekana katika karne hii? kumbuka wamejaribu kutumia mbinu za belgium wakashindwa, hasa baada ya jwtz kuwafurumusha M23.
nani asiyejua belgium imetajirika kutokana na kuiba tena kwa kupindukia huko congo? nani asiyejua civil unrest zinazoendelea congo pia zina mkono wa belgium.
nani asiyejua kuwa siku congo ikipata amani belgium ipo kwenye hatari ya mtikisiko wa kiuchumi.
nani asiyejua kuwa almasi inayouzwa Antwerp asilimia kubwa inatoka congo na inaipa belgium pesa nyingi sana?
kama rwanda inategemea kutumia mbinu hizi inabidi ijipange sana tena kwa haraka kabla hawajastukiwa..... ila kumbuka wameshafeli tayari.