meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,425
- 4,768
Title ya thread(sijui ni gazeti),habari yenyewe na maoni ya mnaochangia havina mawasiliano yaani haviendani kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
if this is the EAC we've been yearning for then its better we live without it. Push will turn to shove after the assasination then everybody is gonna loose,i side with the Tzns to keep off this monster if at all this is true.
Pale ikulu kikwete kawajaza vilaza ili afanye atakavyo
Hii ni another deviation tactic kutoka kwenye mijadala ya moto sasa hivi ya akina HANGA. Kwa nini JK amuue Raila?
Uhuru kamuuwa Professor George Saitoti atashindwa Raila, hao siwo kwa madaraka.
Huyo jamaa mpuuzi kwelikweli. anaongea ushabiki. Ka rwanda kenyewe hakalingani hata na mkoa wa Tabora. Kamejengwa kwa tabaka za kikabila.
Hizi chokochoko si ajabu zinatoka kwa huyu mwendawazimu kagame. Siku tukiamua kumshushia msala ndo atajua sisi ni wa Bongo kweli kweli.
Tumemhurumia hapa watu wake walikuwa wanachinjana kama kuku sasa anaona keshafika. Kama ni fitna tutamfanyia fitna kweli mpaka ikulu yake.
Nampongeza msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya. Mwambene amesema huo ni uzushi na mara nyingi Tanzania ndiyo nchi inayochokozwa.
Wakuu hili jambo ni zito sana but hapa kunauchochezi kabisa Rais wetu hana muda wa kupoteza kufanya ishu kama hizo hizi ndo chokochoko za maadui wa tanzania kutaka kutufitinisha na majirani zetu kisa tu wametuona tuna gesi roho zinawahuma kweli....East Africa unit 4ever..!!
Wewe mwenyewe kiswahili hujui.Nimesikitishwa na tamko la msenaji wa serikali ndugu Asah Mwambene,
Sikitiko langu ni kutokana na Msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha kilichoitwa "uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya"
Nashangaa watu wanavyopotosha habari hii na nahisi hata Mwambene naye kapotoshwa/kapotoka na hakujishughulisha kuifuatilia habari yenyewe na akatoa tamko lenye kupotosha. Kilichoandikwa na Daily Post ni kwamba kuna marais walio conspire kufanya hicho kitu na taarifa zikamfikia Kikwete, naye akakitoa kwa Wetangula ili "kuvuruga mpango huo"
Kwa lugha nyingine nikuwa Kikwete ameokoa mausji hayo.
Hatua hii ya serikali kukurupuka na kukanusha tu tena kwakupotosha zaidi ni udhalilishaji kwa taifa la waswahili.
Sijui tatizo ni lugha au makusudi?
Hebu isomeni kwa umakini taarifa ya mtandao huo wa Kenya.
DAILY POST: REVEALED: WETANGULA/ KIKWETE behind RAILA ODINGA's assassination claims.
Bavicha sounds...Pale hakuna watu makini,isipokuwa kuna watoto wamejikusanya kujipikilisha
Sitashangaa...