EAC leaders plotting to kill Raila Odinga — Oburu Oginga

kigazeti cha udaku na mudsliding! Kila kona wanayomtafuta jk hawampati.
 

Mkuu mimi sikubaliani na wewe kabisa,hizi nchi hazina haja ya kuchafua jina la jk kwani muhura wake unamalizika si muda mrefu,mimi naamini sana kuhusu hii habari ya uchonganishi wa jk kwani ni yeye anaye haha pande zote za dunia akitaka kuisambaratisha EAC kwani hajakubali kushindwa,alifikiri akijitoa EA basi wataporomoka,badala yake jamaa wanasonga mbele tena kwa kasi,anachotaka nikutaka kuisambaratisha kenya na rwanda kwani kwake hao wamemshika pabaya,kwa mtindo huu mimi naona kikwete kachemka,sasa ushauli wangu ili hili sakata lije liishe itabidi rais yeyote ajae wa tanzania itabidi arudishe maelewano mazuri na hizi nchi ili na tanzania isibaki nyuma kimaendeleo,kwani ikiendelea kwa mtindo huu kwa muda murefu tanzania ndio wataathirika vibaya zaidi ya hizi nchi nyingine.
 
wewe mpuuzi kweli
 

Hizi chokochoko si ajabu zinatoka kwa huyu mwendawazimu kagame. Siku tukiamua kumshushia msala ndo atajua sisi ni wa Bongo kweli kweli.
Tumemhurumia hapa watu wake walikuwa wanachinjana kama kuku sasa anaona keshafika. Kama ni fitna tutamfanyia fitna kweli mpaka ikulu yake.
 
Kama ni kweli hii basi kweli Kikwete atakuwa amezidi uswahili....kutetateta tu wenzake ndio maana wenzake wanamtenga...

Sipendi sana kulitaja neno kabila, but kwa hapa kwetu na issue hii it matters a lot!!! Wazaramo na wakwere!!! Ha ha ha!!! Msinipige jamani, nimewaza tu.
 

Nayo pia yanakuwa na story ya kweli sema wanajua kuweka vikolezo!!! Hata sShigongo mbona story za kweli sema anaandikia ile lugha ya kimbea kama kikwere na kizaramo!!!
 
MUKAMASIMBA nakubaliana na msimamo wako lakini sikubaliani na hoja uloweka.

Kwenye siasa za EA tanzania ni mshirika mkuu na hawezi kuwa chanzo cha kuvunjika kwake. EA hii ikivunjika na UKR wakaunda umoja mpya haitakuwa EA.

Nimesema JK anaweza kuwa dhaifu lakini si --------, JK anajua diplomasia (siongelei utendaji) kuliko marais wote EA hivyo hawezi akajiingiza kwenye uchafu huo.
Hivi hamjiulizi kwa nini aongee na Moses Wetangula na sio Rao mwenyewe? After all sisi wengine tunajua JK alikuwa pro UK....
 
Last edited by a moderator:
F*ck u KENYAN DAILY POST!hamna akili kugombanisha nchi na nchi,na msiwaze hata siku Tz itaingia vitani na Kenya. 2014 - Tanzania President Jakaya Mrisho Kikwete and Bungoma Senator, Moses Wetangula, are individuals behind former Prime Minister, Raila Odinga's assassination claims, The Kenya DAILY POST has finally established.

In an admission by a well placed source in ODM, Wetangula and Kikwete met at State House, Arusha on May 5th where they discussed regional security issues including the assassination claims of CORD leader, Raila Odinga.

Kikwete said Tanzania's intel community has unearthed a conspiracy by three East African Presidents to assassinate former Prime Minister, Raila Odinga, when he returns from his two month official visit to the US.

Kikwete said the three East African Presidents led by President Uhuru Kenyatta hatched the idea during the East African Commission (EAC) meeting held at Safari Park Hotel in Nairobi, last month.

The source said Wetangula was very furious with the revelations
 

Odinga ana nini cha ajabu kumuua??

Ni looser kama wengine.

Hii ni propaganda ya magazeti ya udaku ya KEnya
 
Tanzania kwanza! PK, UK wawe makini na vijigazeti hivi vya udakuzi, vitawaharibia.
 
kaka yake Odinga amewaambia waandishi wa habar kwamba Kikwete na maadui wa odinga wanakula njama za kumuua odinga.
 
kaka yake Odinga amewaambia waandishi wa habar kwamba Kikwete na maadui wa odinga wanakula njama za kumuua odinga.RFA
 
kaka yake Odinga amewaambia waandishi wa habar kwamba Kikwete na maadui wa odinga wanakula njama za kumuua odinga.RFA

Asante kwa taarifa


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…