Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hili nasimama upande wa Rais wangu JK....
Kuna kampeni inaendelea EA kumchafua JK na ni vema wana usalama wetu wakalijua na kulifanyia kazi.
Rais wetu anaweza kuwa dhaifu but he is not that stupid.
Kwa hali ilivyo nchini na ukanda huu wa mashariki, tunahitaji rais mwenye haiba tofauti na JK. It doesnt matter anatoka CCM, CUF au CDM.
Nimechoka kupandwa kichwani na majirani zetu!!
Nduli alipigwa hivi hivi kwa uchokozi wa kipumbavu.......hii propaganda against JK inachefua
wewe mpuuzi kweliMkuu mimi sikubaliani na wewe kabisa,hizi nchi hazina haja ya kuchafua jina la jk kwani muhura wake unamalizika si muda mrefu,mimi naamini sana kuhusu hii habari ya uchonganishi wa jk kwani ni yeye anaye haha pande zote za dunia akitaka kuisambaratisha EAC kwani hajakubali kushindwa,alifikiri akijitoa EA basi wataporomoka,badala yake jamaa wanasonga mbele tena kwa kasi,anachotaka nikutaka kuisambaratisha kenya na rwanda kwani kwake hao wamemshika pabaya,kwa mtindo huu mimi naona kikwete kachemka,sasa ushauli wangu ili hili sakata lije liishe itabidi rais yeyote ajae wa tanzania itabidi arudishe maelewano mazuri na hizi nchi ili na tanzania isibaki nyuma kimaendeleo,kwani ikiendelea kwa mtindo huu kwa muda murefu tanzania ndio wataathirika vibaya zaidi ya hizi nchi nyingine.
REVEALED: WETANGULA/ KIKWETE behind RAILA ODINGAs assassination claims.
Sunday May 11, 2014 - Tanzania President Jakaya Mrisho Kikwete and Bungoma Senator, Moses Wetangula, are individuals behind former Prime Minister, Raila Odingas assassination claims, The Kenya DAILY POST has finally established.
In an admission by a well placed source in ODM, Wetangula and Kikwete met at State House, Arusha on May 5th where they discussed regional security issues including the assassination claims of CORD leader, Raila Odinga.
Kikwete said Tanzanias intel community has unearthed a conspiracy by three East African Presidents to assassinate former Prime Minister, Raila Odinga, when he returns from his two month official visit to the US.
Kikwete said the three East African Presidents led by President Uhuru Kenyatta hatched the idea during the East African Commission (EAC) meeting held at Safari Park Hotel in Nairobi, last month.
The source said Wetangula was very furious with the revelations but Kikwete calmed him down and advised him to keep quiet for a week so that the information can be made public by Railas elder brother, Dr Oburu Odinga.
Kikwete has been having a lukewarm relationship with the three East African Presidents and this might be a wider plan of soiling their names, one EAC top officials.
He also said Tanzania has the worst intelligence in the world and this might be a cock and bull story aimed at tarnishing the image of EAC leaders.
The Kenyan DAILY POST
wewe mpuuzi kweli
Kama ni kweli hii basi kweli Kikwete atakuwa amezidi uswahili....kutetateta tu wenzake ndio maana wenzake wanamtenga...
Kikwete awanyime usingizi kwa lipi?kwa umbea?
BIG NO.
how can a tanzania's state house be forced to refute accusations made by a gutter press like daily post?.
hivi hamjui kuwa hao daily post kwa kenya, ni sawa na vigazeti vya shigogo huku bongo?.au kwa kuwa wanatumia "kizungu".c'mon GTs, lets be serious.
MUKAMASIMBA nakubaliana na msimamo wako lakini sikubaliani na hoja uloweka.Mkuu mimi sikubaliani na wewe kabisa,hizi nchi hazina haja ya kuchafua jina la jk kwani muhura wake unamalizika si muda mrefu,mimi naamini sana kuhusu hii habari ya uchonganishi wa jk kwani ni yeye anaye haha pande zote za dunia akitaka kuisambaratisha EAC kwani hajakubali kushindwa,alifikiri akijitoa EA basi wataporomoka,badala yake jamaa wanasonga mbele tena kwa kasi,anachotaka nikutaka kuisambaratisha kenya na rwanda kwani kwake hao wamemshika pabaya,kwa mtindo huu mimi naona kikwete kachemka,sasa ushauli wangu ili hili sakata lije liishe itabidi rais yeyote ajae wa tanzania itabidi arudishe maelewano mazuri na hizi nchi ili na tanzania isibaki nyuma kimaendeleo,kwani ikiendelea kwa mtindo huu kwa muda murefu tanzania ndio wataathirika vibaya zaidi ya hizi nchi nyingine.
REVEALED: WETANGULA/ KIKWETE behind RAILA ODINGAs assassination claims.
Sunday May 11, 2014 - Tanzania President Jakaya Mrisho Kikwete and Bungoma Senator, Moses Wetangula, are individuals behind former Prime Minister, Raila Odingas assassination claims, The Kenya DAILY POST has finally established.
In an admission by a well placed source in ODM, Wetangula and Kikwete met at State House, Arusha on May 5th where they discussed regional security issues including the assassination claims of CORD leader, Raila Odinga.
Kikwete said Tanzanias intel community has unearthed a conspiracy by three East African Presidents to assassinate former Prime Minister, Raila Odinga, when he returns from his two month official visit to the US.
Kikwete said the three East African Presidents led by President Uhuru Kenyatta hatched the idea during the East African Commission (EAC) meeting held at Safari Park Hotel in Nairobi, last month.
The source said Wetangula was very furious with the revelations but Kikwete calmed him down and advised him to keep quiet for a week so that the information can be made public by Railas elder brother, Dr Oburu Odinga.
Kikwete has been having a lukewarm relationship with the three East African Presidents and this might be a wider plan of soiling their names, one EAC top officials.
He also said Tanzania has the worst intelligence in the world and this might be a cock and bull story aimed at tarnishing the image of EAC leaders.
The Kenyan DAILY POST
kaka yake Odinga amewaambia waandishi wa habar kwamba Kikwete na maadui wa odinga wanakula njama za kumuua odinga.RFA