Mtoto wa Mama Samia
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 772
- 392
Mkuu, hili jambo ni kubwa mno. Si rahisi kukanusha tu kwani linamuhusu RAIS wetu na si Kikwete peke yake, nadhani serikali lazima ilichukulie umakini na kutueleza wananchi hali halisi kwani waliotoa tuhuma hizo ni watu makini na timamu.Nampongeza msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya. Mwambene amesema huo ni uzushi na mara nyingi Tanzania ndiyo nchi inayochokozwa.
Nampongeza msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya. Mwambene amesema huo ni uzushi na mara nyingi Tanzania ndiyo nchi inayochokozwa.
Mkuu, ndio maana hapo juu nimesema sio kitu rahisi kwa msemaji wa Ikulu kukanusha tu kwenye vyombo vya habari. Soma hii,source pls
Tunatafutwa siku nyingi tu mkuu, bila kuwa na katiba tuliyoipendekeza wananchi tutaingia matatani.Ipo siku Tanzania itapigwa na hizi nchi tatu
Aliyetoa madai (mdogo wake Odinga) amesema ana ushahidi na kwamba yuko tayari kuutoa popote. Mpaka ushahidi wake utakapothitibitika kuwa ni wa uongo ndipo tunaweza kumwita ni mzushi. Kwa sasa ni mapema mno!Nampongeza msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya. Mwambene amesema huo ni uzushi na mara nyingi Tanzania ndiyo nchi inayochokozwa.
Kama hii ni mbinu ya marais wote wa EAC kwanini atajwe kikwete pekee? Huu ni upuuzi tu
it was kagame and now odinga,,i wonder who will be next?