EAC leaders plotting to kill Raila Odinga — Oburu Oginga

EAC leaders plotting to kill Raila Odinga — Oburu Oginga

Pengine hii itasoumd vyema kwa manyerere na the like: JK in a consipirancy to assassinate Raila Odinga.RFA Wame...
 
Sijui kwanini bado niko na shaka kwamba rais Kikwete anahusika na
hizi propaganda za ODM.

He looks smarter than this,,,,

Na kama upo ukweli wowopte, basi na muonea huruma bw
Kikwete kwani hawa ODM, watakutumia na wakuache
ukiwa mahututi.

Kwahivi sasa, wanajaribu kujinusuru kisiasa kwani
hakuna popote wanapoelekea.

Walijaribu kuchoma Kenya nzima, 2007, hata sasa
wao wanaweza kupiganisha nchi za Afrika mashariki
kama watu watakua wajinga.

Please stay away from them.

I beg i beg i beg i beg.🙂

They are veeeery dangerous.
 
Nampongeza msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya. Mwambene amesema huo ni uzushi na mara nyingi Tanzania ndiyo nchi inayochokozwa.
 
Mkuu, hili jambo ni kubwa mno. Si rahisi kukanusha tu kwani linamuhusu RAIS wetu na si Kikwete peke yake, nadhani serikali lazima ilichukulie umakini na kutueleza wananchi hali halisi kwani waliotoa tuhuma hizo ni watu makini na timamu.
 
Nampongeza msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya. Mwambene amesema huo ni uzushi na mara nyingi Tanzania ndiyo nchi inayochokozwa.

source pls
 
source pls
Mkuu, ndio maana hapo juu nimesema sio kitu rahisi kwa msemaji wa Ikulu kukanusha tu kwenye vyombo vya habari. Soma hii,
REVEALED: WETANGULA/ KIKWETE behind RAILA ODINGA's assassination claims.

Sunday May 11, 2014 - Tanzania President Jakaya Mrisho Kikwete and Bungoma Senator, Moses Wetangula, are individuals behind formerPrime Minister, Raila Odinga's assassination claims, The Kenya DAILY POST has finally established.

In an admission by a well placed source in ODM, Wetangula and Kikwete met at State House, Arusha on May 5th where they discussed regional security issues including the assassination claims of CORD leader, Raila Odinga.

Kikwete said Tanzania's intel community has unearthed a conspiracy by three East African Presidents to assassinate former Prime Minister, Raila Odinga, when he returns from his two month official visit to the US.

Kikwete said the three East African Presidents led by President Uhuru Kenyatta hatched the idea during the East African Commission (EAC) meeting held at Safari Park Hotel in Nairobi, last month.

The source said Wetangula was very furious with the revelations but Kikwete calmed him down and advised him to keep quiet for a week so that the information can be made public by Raila's elder brother, Dr Oburu Odinga.

"Kikwete has been having a lukewarm relationship with the three East African Presidents and this might be a wider plan of soiling their names," one EAC top officials.

He also said Tanzania has the worst intelligence in the world and this might be a "cock and bull" story aimed at tarnishing the image of EAC leaders.

The Kenyan DAILY POST​

Spin doctors wameishiwa mikakati au? Hanga, Matusi ya Werema, Kibaraka Prof Muhongo... Limewaganda mwanzo mwisho
 
Kweli hata mimi nilisikia taarifa hii VoA jana jioni. Pia magazeti ya leo yameeleza kuhusu suala hilo. Kwa kweli inashangaza kwa kumhusisha Rais wetu na mauaji tena ya kiongozi wa nchi jirani, siamini kama taarifa hizi sina hakika kama za kweli. Kuna uchochezi nyuma ya pazia kwa namna moja au nyingine. Wamuache rais wetu awatumikie watanzania sio kuleta propaganda za hapa na pale.
 
Wakuu hili jambo ni zito sana but hapa kunauchochezi kabisa Rais wetu hana muda wa kupoteza kufanya ishu kama hizo hizi ndo chokochoko za maadui wa tanzania kutaka kutufitinisha na majirani zetu kisa tu wametuona tuna gesi roho zinawahuma kweli....East Africa unit 4ever..!!
 
Kama hii ni mbinu ya marais wote wa EAC kwanini atajwe kikwete pekee? Huu ni upuuzi tu
 
  • Thanks
Reactions: gsu
Nampongeza msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya. Mwambene amesema huo ni uzushi na mara nyingi Tanzania ndiyo nchi inayochokozwa.
Aliyetoa madai (mdogo wake Odinga) amesema ana ushahidi na kwamba yuko tayari kuutoa popote. Mpaka ushahidi wake utakapothitibitika kuwa ni wa uongo ndipo tunaweza kumwita ni mzushi. Kwa sasa ni mapema mno!
 
Hapa kunakitu siyo bure hii itakuwa ni mipango ya watu kama kagame na kundi lake la kumchafua jk nadhani watuache na nchi yetu na wao wafanye yao tumechoka na ujinga wao usioisha.
 
Kama hii ni mbinu ya marais wote wa EAC kwanini atajwe kikwete pekee? Huu ni upuuzi tu

Tena ni zaidi ya upuuzi wasituletee ujinga wao wao amani imewashinda wanatafuta wa kumrushia mpira hatutaki.
 
Jk puuzia hili turudi kwenye mada yaTundu Lissu ya waasisi wetu kuuliwa na wenzao. Pia na 200 bln . Najua katiba mpya haipo tena kwani sio ya wananchi Bali wabaka siasa maccm.
 
Back
Top Bottom