GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nampongeza msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya. Mwambene amesema huo ni uzushi na mara nyingi Tanzania ndiyo nchi inayochokozwa.
Kweli hata mimi nilisikia taarifa hii VoA jana jioni. Pia magazeti ya leo yameeleza kuhusu suala hilo. Kwa kweli inashangaza kwa kumhusisha Rais wetu na mauaji tena ya kiongozi wa nchi jirani, siamini kama taarifa hizi sina hakika kama za kweli. Kuna uchochezi nyuma ya pazia kwa namna moja au nyingine. Wamuache rais wetu awatumikie watanzania sio kuleta propaganda za hapa na pale.
Nashangaa watu wanavyopotosha habari hii na nahisi hata Mwambene naye kapotoshwa na hakujishughulisha kuifuatilia habari yenyewe na akatoa tamko lenye kupotosha. Kilichoandikwa na Daily Post ni kwamba kuna maraisi walioconspire kufanya hicho kitu na taarifa zikamfikia Kikwete naye akakitoa kwa Wetangula ili litibuke
Tanzania kwanza! PK, UK wawe makini na vijigazeti hivi vya udakuzi, vitawaharibia.
Do we really have the worst intelligence in the world, I don't think so we have some bad people in our Intelligence Unit but not allHe also said Tanzania has the worst intelligence in the world and this might be a "cock and bull" story aimed at tarnishing the image of EAC leaders
Ndo maana watanania tunaachwa nyuma kwa sababu kiingereza kinatukaba shingo kupitiliza. Umefanya vema kututafsiria maana mada sasa ilienda kushoto kama sio kutuletea kizungu kama source, hata walioenda shule (sio chini ya mti) wakafafanua. JK anapaswa kupongezwa kwa kuepusha kumpoteza Oluoch, ah hapana, yaani Ombuo......jamani, ni Otito sijui? Ahaaaa, Odinga! Waswahili wamegeuza maandishi yako juu chini.
Mkuu asante sana kwa tafsiri yko coz tulishaingia chaka...!Nashangaa watu wanavyopotosha habari hii na nahisi hata Mwambene naye kapotoshwa na hakujishughulisha kuifuatilia habari yenyewe na akatoa tamko lenye kupotosha. Kilichoandikwa na Daily Post ni kwamba kuna maraisi walioconspire kufanya hicho kitu na taarifa zikamfikia Kikwete naye akakitoa kwa Wetangula ili litibuke
Mkuu, ndio maana hapo juu nimesema sio kitu rahisi kwa msemaji wa Ikulu kukanusha tu kwenye vyombo vya habari. Soma hii,
REVEALED: WETANGULA/ KIKWETE behind RAILA ODINGAs assassination claims.
Sunday May 11, 2014 - Tanzania President Jakaya Mrisho Kikwete and Bungoma Senator, Moses Wetangula, are individuals behind formerPrime Minister, Raila Odingas assassination claims, The Kenya DAILY POST has finally established.
In an admission by a well placed source in ODM, Wetangula and Kikwete met at State House, Arusha on May 5th where they discussed regional security issues including the assassination claims of CORD leader, Raila Odinga.
Kikwete said Tanzanias intel community has unearthed a conspiracy by three East African Presidents to assassinate former Prime Minister, Raila Odinga, when he returns from his two month official visit to the US.
Kikwete said the three East African Presidents led by President Uhuru Kenyatta hatched the idea during the East African Commission (EAC) meeting held at Safari Park Hotel in Nairobi, last month.
The source said Wetangula was very furious with the revelations but Kikwete calmed him down and advised him to keep quiet for a week so that the information can be made public by Railas elder brother, Dr Oburu Odinga.
Kikwete has been having a lukewarm relationship with the three East African Presidents and this might be a wider plan of soiling their names, one EAC top officials.
He also said Tanzania has the worst intelligence in the world and this might be a cock and bull story aimed at tarnishing the image of EAC leaders.
The Kenyan DAILY POST
Nampongeza msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya. Mwambene amesema huo ni uzushi na mara nyingi Tanzania ndiyo nchi inayochokozwa.
njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya.
In an admission by a well placed source in ODM, Wetangula and Kikwete met at State House, Arusha on May 5th where they discussed regional security issues including the assassination claims of CORD leader, Raila Odinga.
Kikwete said Tanzanias intel community has unearthed a conspiracy by three East African Presidents to assassinate former Prime Minister, Raila Odinga, when he returns from his two month official visit to the US.
Kikwete said the three East African Presidents led by President Uhuru Kenyatta hatched the idea during the East African Commission (EAC) meeting held at Safari Park Hotel in Nairobi, last month.
Ndo maana watanania tunaachwa nyuma kwa sababu kiingereza kinatukaba shingo kupitiliza. Umefanya vema kututafsiria maana mada sasa ilienda kushoto kama sio kutuletea kizungu kama source, hata walioenda shule (sio chini ya mti) wakafafanua. JK anapaswa kupongezwa kwa kuepusha kumpoteza Oluoch, ah hapana, yaani Ombuo......jamani, ni Otito sijui? Ahaaaa, Odinga! Waswahili wamegeuza maandishi yako juu chini.
Sunday May 11, 2014 - Tanzania President Jakaya Mrisho Kikwete and Bungoma Senator, Moses Wetangula, are individuals behind formerPrime Minister, Raila Odinga¡¯s assassination claims, The Kenya DAILY POST has finally established.umeelewa kilichoandikwa?
Halafu huyu mp.uuzi Mwambene aidha ni kanjanja au anajipendekeza! pia mtoa mada punguza kukurupuka!