EAC leaders plotting to kill Raila Odinga — Oburu Oginga


Hii movie haijaisha bado
 
Hata mimi nilifikiri hivyo hivyo. Kile kijamaa chembamba ni kibaya sana. Lakini wamekutana maana jamaa yetu naye ni mtu wa visasi kishenzi, hakubali kushindwa.
 

Yaani wewe ndo umeelewa habari yenyewe vizuri; wengi humu English imewapotosha na michango yao pia inapotosha ukweli wa jambo husika!
 
Hii yote ni Tanzania kukataa kutoa ardhi yake kuwa ya EAC,ili wakenya waje kukaa Tanzania na kuhodhi ardhi kubwa kuwa mali yao.
 
Vivian,
Asante sana kwa kuliona hilo. Kiingereza si mchezo. Kama kweli anachosema mleta uzi ndo amesema Mwambene basi tatizo lipo kwa Mwambene si kilichoandikwa na DAILY POST kwani hapo kila kitu kipo wazi sema tatizo lugha!
 
Sawa sawa mkuu, tatizo ni kurukia mambo bila ya kuyatafakari kwanza. Nchi hii ndio maana tupo wa 9 kwa nchi zenye IQ ndogo kabisa duniani.
 

He also said Tanzania has the worst intelligence in the world and this might be a “cock and bull” story aimed at tarnishing the image of EAC leaders.

The Kenyan DAILY POST​


Duh!
Inaelekea hata Somalia wana Intelejensia nzuri kupita Sisim, hii yote ni kwa sababu ya SIASA, manaa TIS ipo Busy na UPINZANI.
 
Nimesikitishwa na tamko la msenaji wa serikali ndugu Asah Mwambene,

Sikitiko langu ni kutokana na Msemaji wa serikali Ndg Mwambene kukanusha kilichoitwa "uzushi kuwa kuna njama inapangwa kwa kushirikiana na Rais wa Tanzania kumuua Raila Odinga wa Kenya"

Nashangaa watu wanavyopotosha habari hii na nahisi hata Mwambene naye kapotoshwa/kapotoka na hakujishughulisha kuifuatilia habari yenyewe na akatoa tamko lenye kupotosha. Kilichoandikwa na Daily Post ni kwamba kuna marais walio conspire kufanya hicho kitu na taarifa zikamfikia Kikwete, naye akakitoa kwa Wetangula ili "kuvuruga mpango huo"

Kwa lugha nyingine nikuwa Kikwete ameokoa mausji hayo.

Hatua hii ya serikali kukurupuka na kukanusha tu tena kwakupotosha zaidi ni udhalilishaji kwa taifa la waswahili.

Sijui tatizo ni lugha au makusudi?

Hebu isomeni kwa umakini taarifa ya mtandao huo wa Kenya.

http://www.kenyan-post.com/2014/05/revealed-wetangula-kikwete-behind-raila.html?m=1
 
Kweli Kikoloni kigumu! Watu wamesindwa kudadavua hii!
Ni majanga mno mkuu. Nadhani ni makusudi tu ili kutuingiza kwenye mgogoro kama walivofanya UMAAMUMA kwenye rasimu ya katiba mpya.
 
Mkuu Yericko tatizo hapa ni kuwa pale ambapo mambo makubwa yanaligusa taifa kama ufisadi na madawa ya kulevya ikulu hukaa kimyaa ila kwa mambo ambayo hayana any impact ndo hutoa tamko
 
Kikwete can not tell which is his right leg and which is his left one. How can he know what is happening anywhere else let alone Kenya.

With Chief spy a brother of Chief Justice what else do you expect from this overt nepotism laced with Islamization of our civil service where meritocracy is sacrificed for cronyism!
 
Inaonekana hata mwambene hakusoma kweli hii taarifa na ndivo ilivyo kwa waTz wengi hatupendi kujishughulisha kuichimba kinagabaga habari nyingi tu haya ndo madhara yake..
 
JK to hobnob with Wetangula who is a nobody in Kenyan government speaks volumes about our international public policy...
 
Mkuu Yericko tatizo hapa ni kuwa pale ambapo mambo makubwa yanaligusa taifa kama ufisadi na madawa ya kulevya ikulu hukaa kimyaa ila kwa mambo ambayo hayana any impact ndo hutoa tamko
Mkuu umenena Yaani matatizo makubwa ya nchi ikulu hukaa kimya ila ukigusa mwana familia ya rais ikulu huja haraka haraka ktk vyombo vya habari.Haya Lissu kauliza nani kampa kibali mwana ccm Salma Kikwete kufanya mkutano mtwara na lindi?jibuni ikulu
 
Watumishi wa Ikulu huwa unampotosha sana mkuu wa nchi na yeye bila hira wala hiyana anapotoka....Kwa hili la kenya kama ni kweli bs namsifia Rais wangu kama nia ilikuwa kutibua deal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…