Maendeleo tu
JF-Expert Member
- Oct 9, 2010
- 347
- 107
hajakurupuka! lazima atakuwa amewasiliana na kikwete!
Bavicha sounds...
Kikwete ndiye aliyeitibua issue ......
kabla ya kushangaa, je unafahamu kenya daily post ni gazeti la udaku kama magazeti ya shigongo hapa kwetu?
kama kuna kiongozi wa serikali amelijibu gazeti hili basi ametuahibisha na ile report ya low iq inapata nguvu.
Uko sahihi...ni sawa na magazeti ya ijumaa cjui kiu wanayosoma wale wadada wa saluni na seven za masaji mwenge,kinondoni,sinza
jibu hoja kama unaweza. Halahala usimzushie kagame ambaye hakutajwa bayana!
Belgium ni ndogo kuliko Tabora lakini uchumi wake haukamatiki.
Size is irrelevant.
teh teh! so kikwete ndo alomwambia aseme alivosemaa!
Belgium ni ndogo kuliko Tabora lakini uchumi wake haukamatiki.
Size is irrelevant.
kama rwanda itatumia mbinu za belgium kukuza uchumi wake basi itakuwa mbali sana kiuchumi.
Tatizo ni je, hyo inawezekana katika karne hii? kumbuka wamejaribu kutumia mbinu za belgium wakashindwa, hasa baada ya jwtz kuwafurumusha M23.
nani asiyejua belgium imetajirika kutokana na kuiba tena kwa kupindukia huko congo? nani asiyejua civil unrest zinazoendelea congo pia zina mkono wa belgium.
nani asiyejua kuwa siku congo ikipata amani belgium ipo kwenye hatari ya mtikisiko wa kiuchumi.
nani asiyejua kuwa almasi inayouzwa Antwerp asilimia kubwa inatoka congo na inaipa belgium pesa nyingi sana?
kama rwanda inategemea kutumia mbinu hizi inabidi ijipange sana tena kwa haraka kabla hawajastukiwa..... ila kumbuka wameshafeli tayari.
unataka kusema kama vile gazeti la Kiu limzungumzie Kenyatta kisha Ikulu ya Kenya itoe tamko? Kama ndiyo hivyo basi nadhani sasa umefika wakati hiyo kurugenzi ya Mawasiliano iangaliwe upya maana inatuaibisha.kabla ya kushangaa, je unafahamu kenya daily post ni gazeti la udaku kama magazeti ya shigongo hapa kwetu?
kama kuna kiongozi wa serikali amelijibu gazeti hili basi ametuahibisha na ile report ya low iq inapata nguvu.