EACOP Project Officially TAKE OFF

EACOP Project Officially TAKE OFF

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Siku ya leo serikali ya Tanzania wamesaini kandarasi na kqmpuni ya TOTAL kutoka ufaransa wakiwa ni sehemu ya wadau wa mradi huo

Kufuatiwa kqndarasi hiyo sasa ni rasmi ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima chini Uganda kwenda Chongoleani Tanzania ni rasmi sasa utaanza rasmi.
 
ndege JOHN acha kuruka ruka kama ndege ww unafahamu matumizi ya neno mabeberu (imperialism)
 
Siku ya leo serikali ya Tanzania wamesaini kandarasi na kqmpuni ya TOTAL kutoka ufaransa wakiwa ni sehemu ya wadau wa mradi huo

Kufuatiwa kqndarasi hiyo sasa ni rasmi ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima chini Uganda kwenda Chongoleani Tanzania ni rasmi sasa utaanza rasmi .
sio kweli. mpaka FID- Final Investment Decision isainiwe ndio inakuwa rasmi
 
Back
Top Bottom