luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Siku ya leo serikali ya Tanzania wamesaini kandarasi na kqmpuni ya TOTAL kutoka ufaransa wakiwa ni sehemu ya wadau wa mradi huo
Kufuatiwa kqndarasi hiyo sasa ni rasmi ujenzi wa bomba la mafuta ghafi toka Hoima chini Uganda kwenda Chongoleani Tanzania ni rasmi sasa utaanza rasmi.