Earth is hard

Earth is hard

Da Vinci XV

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2019
Posts
3,862
Reaction score
6,438
Bila shaka tumeondoka na Kitu

82918D96-775F-4405-80A9-9586A3F9E066.png
 
to live is to hurt others, and through others, to hurt oneself
 
Mpango wa Mungu,ndio maana hata sisi tunakula nyama japo tuna huruma!!
 
Wakati kondoo anaogopa kuliwa na mbwa mwitu, na kujisogeza kwa mchunga wake ambapo akinona napo analiwa tena

Hakuna sababu ya kuogopa kitu duniani
 
1. Eeh mwenyezi jalia asinikamate ataniua huyu
2. Eeh mwenyezi nisaidie nipate kitoweo nisife njaa
 
Back
Top Bottom