East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

Ndugai Market Dodoma city

Duuu...noma sana, hapo wanaenda kuingia watanzania wa vipato vyote, wa chini na juu, lingekuwa Kenya ungesikia wanakwambia hyo ni shopping mall ya matajiri tu.
 
Hapo tu ndio huwa serikali ya bongo inanichosha,yaani vijengo vidogo kama hivi hadi wapewe wakandarasi wa China? kwamba local contractors watafanya nini sasa,huu ni wivu kuua uchumi wa wakandarasi wa ndani..mnakera kiukweli
what if local contractor's bid was more costlier?
 
what if local contractor's bid was more costlier?
Ndio maana huwa kuna category kwamba huu mradi ni open kwa international au strictly local..kwa nini mradi mdogo kama huo kuufungua kwa international contractors wakati unajua local hawataweza kushindana nao? Kwamba ikulu inajengwa kwa force account ila mahakama ndo imeshindikana sio? Ningekuwa mhusika ningezuia hii
 
Hapo tu ndio huwa serikali ya bongo inanichosha,yaani vijengo vidogo kama hivi hadi wapewe wakandarasi wa China? kwamba local contractors watafanya nini sasa,huu ni wivu kuua uchumi wa wakandarasi wa ndani..mnakera kiukweli
Sasa we kichaa kicho unachosema kijengo kidogo umekiona?

Mradi wa kujengwa na company kubwa kama hiyo kwa miaka miwili unaita kijengo kidogo?
 
Unajua jengo linalojengwa ni ghorofa kadhaa with sophisticated IT infrastruture! Huwezi ukaweka mradi wa zaidi ya Tshs 10bln kwa locals only! Mbona Estim halalamiki na kajenga miradi mikubwa! wacha upuuzi wa kulalamika bila kujua procurement procedures!
 
Sasa we kichaa kicho unachosema kijengo kidogo umekiona?

Mradi wa kujengwa na company kubwa kama hiyo kwa miaka miwili unaita kijengo kidogo?
Ikulu na hichi kijengo ipi iko sophisticated,acha kucheua magimbi mkuu..vijengo kama hivi ni vya kuwapa local contractors sio hao wajomba zenu macho ya bundi
 
Lack of creativity and imagination. Sijui kwanini they decided to go with the same Arabesque design ya Magogoni. A TOTAL LETDOWN!
That buiding is our urithi!
 
That buiding is our urithi!
Nikuonyeshe tu baadhi ya state houses za Afrika. My personal favorites ni za Uganda, Ghana, Namibia na Cameroon

1. Namibia

2. Ghana
 
Attachments

  • 1593680278039.png
    56.7 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…