PNU
JF-Expert Member
- Jun 19, 2020
- 377
- 2,809
Ndugai Market Dodoma city
![]()
![]()
![]()
Duuu...noma sana, hapo wanaenda kuingia watanzania wa vipato vyote, wa chini na juu, lingekuwa Kenya ungesikia wanakwambia hyo ni shopping mall ya matajiri tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai Market Dodoma city
![]()
![]()
![]()
what if local contractor's bid was more costlier?Hapo tu ndio huwa serikali ya bongo inanichosha,yaani vijengo vidogo kama hivi hadi wapewe wakandarasi wa China? kwamba local contractors watafanya nini sasa,huu ni wivu kuua uchumi wa wakandarasi wa ndani..mnakera kiukweli
Ndio maana huwa kuna category kwamba huu mradi ni open kwa international au strictly local..kwa nini mradi mdogo kama huo kuufungua kwa international contractors wakati unajua local hawataweza kushindana nao? Kwamba ikulu inajengwa kwa force account ila mahakama ndo imeshindikana sio? Ningekuwa mhusika ningezuia hiiwhat if local contractor's bid was more costlier?
Sasa we kichaa kicho unachosema kijengo kidogo umekiona?Hapo tu ndio huwa serikali ya bongo inanichosha,yaani vijengo vidogo kama hivi hadi wapewe wakandarasi wa China? kwamba local contractors watafanya nini sasa,huu ni wivu kuua uchumi wa wakandarasi wa ndani..mnakera kiukweli
Lack of creativity and imagination. Sijui kwanini they decided to go with the same Arabesque design ya Magogoni. A TOTAL LETDOWN!Ikulu Dodoma![]()
![]()
![]()
![]()
#UkaidiwaMagufuli#
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala @kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Unajua jengo linalojengwa ni ghorofa kadhaa with sophisticated IT infrastruture! Huwezi ukaweka mradi wa zaidi ya Tshs 10bln kwa locals only! Mbona Estim halalamiki na kajenga miradi mikubwa! wacha upuuzi wa kulalamika bila kujua procurement procedures!Ndio maana huwa kuna category kwamba huu mradi ni open kwa international au strictly local..kwa nini mradi mdogo kama huo kuufungua kwa international contractors wakati unajua local hawataweza kushindana nao? Kwamba ikulu inajengwa kwa force account ila mahakama ndo imeshindikana sio? Ningekuwa mhusika ningezuia hii
Ikulu na hichi kijengo ipi iko sophisticated,acha kucheua magimbi mkuu..vijengo kama hivi ni vya kuwapa local contractors sio hao wajomba zenu macho ya bundiSasa we kichaa kicho unachosema kijengo kidogo umekiona?
Mradi wa kujengwa na company kubwa kama hiyo kwa miaka miwili unaita kijengo kidogo?
Em nipe picture ya hicho kijengo unacholalama kwamba ni kidogo.Ikulu na hichi kijengo ipi iko sophisticated,acha kucheua magimbi mkuu..vijengo kama hivi ni vya kuwapa local contractors sio hao wajomba zenu macho ya bundi
That buiding is our urithi!Lack of creativity and imagination. Sijui kwanini they decided to go with the same Arabesque design ya Magogoni. A TOTAL LETDOWN!
Nikuonyeshe tu baadhi ya state houses za Afrika. My personal favorites ni za Uganda, Ghana, Namibia na CameroonThat buiding is our urithi!
so?Nikuonyeshe tu baadhi ya state houses za Afrika. My personal favorites ni za Uganda, Ghana, Namibia na Cameroon
View attachment 1495178
1. Namibia
View attachment 1495179
2. Ghana