that's how corruption happens out in the open and the status quo(rich and powerful) is maintained....In my opinion, moving the capital to Dodoma was a selfish and unwise decision by our politicians.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
that's how corruption happens out in the open and the status quo(rich and powerful) is maintained....In my opinion, moving the capital to Dodoma was a selfish and unwise decision by our politicians.
Angekuwepo yule Rais wa kujimwambafy ungeona makelele utadhani kuzindua uwanja ni kitu special Sana.I am happy for this
Zitajengwa tuu amekumbushia RC wa Dom,ndio kwanza ni bajeti ya kwanza ya mama kunazo 4 zinakuja kwa hiyo mda upo wa utekelezaji.Bado outer ring road
Angekuwepo yule Rais wa kujimwambafy ungeona makelele utadhani kuzindua uwanja ni kitu special Sana.
Yule jamaa alikuwa hovyo Sana.
Zitajengwa tuu amekumbushia RC wa Dom,ndio kwanza ni bajeti ya kwanza ya mama kunazo 4 zinakuja kwa hiyo mda upo wa utekelezaji.
Ndio Jiji linastahili hadhi ya Jiji la pili Tzn sio lile Jiji uchwara ambalo limerundika wanavijiji nothing else 😄😄🏃🏃Dom is the next big time thing,
Miaka 10 ijayo dodoma itakuwa ni mji mzuri zaidi Africa mashariki
Outer ring inapaswa iwe imeanza maana tender ilishapewa kandarasi na fedha za ufadhili ni AfDB pia! Hamna sababu ya kuchelewa nadhani hii ni sababu ya Chamuriho kutimuliwa pia!Zitajengwa tuu amekumbushia RC wa Dom,ndio kwanza ni bajeti ya kwanza ya mama kunazo 4 zinakuja kwa hiyo mda upo wa utekelezaji.
Mbona outering wametangaza tenda sio mda,nimeiona Taneps ..Outer ring inapaswa iwe imeanza maana tender ilishapewa kandarasi na fedha za ufadhili ni AfDB pia! Hamna sababu ya kuchelewa nadhani hii ni sababu ya Chamuriho kutimuliwa pia!