East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

Dodoma tena ,housing estates 👇

Screenshot_20210914-145116.png


Screenshot_20210914-145154.png
 








MY TAKE
Huyu mkuu wa Mkoa wa Dodoma anaamuru Tanroad kusimamisha ujenzi road reserves, yeye anafanya nini kama msimamizi mkuu wa mkoa? na mipango miji ipo chini ya city counciil?
 
Kuwa siisiiemu ni kujitoa ufahamu ukishakula makande yako ukijamba baada ya kunywa maji baridi ya kandoro basi maisha yanaendelea, unawezaje kufananisha kijiji cha chamwino kule kwenye vumbi na tracoma na Nairobi metropolitant city? jiji la Tangu kale mashirika yote ya kimataifa na baadhi ya balozi hata ambazo Tanzania hazipo ziko nairobi. Kufikiri kwa kutumia maviungo mengine ni shida sana
 
Back
Top Bottom