East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

...In my opinion, moving the capital to Dodoma was a selfish and unwise decision by our politicians.
that's how corruption happens out in the open and the status quo(rich and powerful) is maintained.
 
Zitajengwa tuu amekumbushia RC wa Dom,ndio kwanza ni bajeti ya kwanza ya mama kunazo 4 zinakuja kwa hiyo mda upo wa utekelezaji.
Outer ring inapaswa iwe imeanza maana tender ilishapewa kandarasi na fedha za ufadhili ni AfDB pia! Hamna sababu ya kuchelewa nadhani hii ni sababu ya Chamuriho kutimuliwa pia!

Outer ring inapaswa iwe imeanza maana tender ilishapewa kandarasi na fedha za ufadhili ni AfDB pia! Hamna sababu ya kuchelewa nadhani hii ni sababu ya Chamuriho kutimuliwa pia!
Mbona outering wametangaza tenda sio mda,nimeiona Taneps ..

RC anazungumzia zile dual carriage road km 50 kila upande kwa mujibu wa ilani .

Chamriho ni mzigo bora amesepeshwa.
 
An official welcome of Minister of Defence Hon. Dr Stergomena Tax to the ministry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…