Kuwa siisiiemu ni kujitoa ufahamu ukishakula makande yako ukijamba baada ya kunywa maji baridi ya kandoro basi maisha yanaendelea, unawezaje kufananisha kijiji cha chamwino kule kwenye vumbi na tracoma na Nairobi metropolitant city? jiji la Tangu kale mashirika yote ya kimataifa na baadhi ya balozi hata ambazo Tanzania hazipo ziko nairobi. Kufikiri kwa kutumia maviungo mengine ni shida sana